Hili limenikuta ktk test ya pspf

Hili limenikuta ktk test ya pspf

..Inachanganya na kuvuruga akili za watu kwakweli: Binafsi nisingeweza kuinyamazia, ningefanya chini juu taarifa zikaifikia mamlaka husika: ila basi tu, Mungu atakulinda aisee; usijekushangaa wewe uliyetumia akili yako kufanya test hiyo na yeye ambaye ameonekana ana majibu tayari nyote mkapata ajira.
 
Mia uliona wapi answer sheet zinatolewa kama rough paper? kwanza tuliambia kazi zote za rough zifanyike kwenye question paper only, INAWEZEKANA NA WEWE ni mmoja wa wachakachuaji ndo maana unamtetea kilaza mwenzio.
sikujua kama wewe ni mpumbavu kiasi hiki. shika adabu yako. mia
 
mkuu huwa chebo inaombwa hailalamikiwi na ukiona majina yaliokuwa shrtlisted na lako hulioni na kuona la dada sijui utalia au utauja hapa tena jamvini kupoza machungu.. pole sana mkuu ndio tz bongo hiyo..
 
Usidanganye watu,nilipata kazi nzuri sana Social Security nikiwa simjui mtu yeyote yule! Kwanza application alinifanyia mdogo wangu kwa utani tu, nikaitwa interview written n oral nikawa overall nikapewa kazi! Ilinichukua miezi kujua majina ya wakubwa.

From my personal experience from ajira ya kwanza sijawahi mjua mtu yeyote ninakopata kazi. Guyz good qualifiactions na maandalizi mazuri ya kufanya interview unapata kazi tu. Be at the top kiasi ambacho hata kama panel nzima imehongwa wanaona aibu mtu una wastani wa A anayekufuata ana C wanakuchukuchua tu so be exceptional.

Mdogo wangu naye kamaliza chuo last year kapata bonge la kazi ndani field iliyojaa mtaani HR! Aliitwa inteview na masters holders ana degree tu na uzoefu wa 6months only kapata hiyo kazi, nilikaa naye whole night anajiandaa na interview tunadiscuss possibilities na nikamwambia my darling attitude na confidence basii plus ana vyeti vizuri no he is flying manager now na hata Masters bila kusahau hiyo kampuni we know nobodyyy!

So u can mnaotafuta kazi usikatishwe tamaa oohh lazima ujue mtu or uhonge! Ss tuliotoka bush hatuna adress town tusingepata kazi nzuri
Hii imenivutia,if u dnt mind naomba uni pm unipe hayo maujanja jaman,plzz
 
Inauma sana ndugu, nawaomba pspf walifanyie kazi. Ina leta picha mbaya kwa walio tunga mtihan.
 
Usidanganye watu,nilipata kazi nzuri sana Social Security nikiwa simjui mtu yeyote yule! Kwanza application alinifanyia mdogo wangu kwa utani tu, nikaitwa interview written n oral nikawa overall nikapewa kazi! Ilinichukua miezi kujua majina ya wakubwa.

From my personal experience from ajira ya kwanza sijawahi mjua mtu yeyote ninakopata kazi. Guyz good qualifiactions na maandalizi mazuri ya kufanya interview unapata kazi tu. Be at the top kiasi ambacho hata kama panel nzima imehongwa wanaona aibu mtu una wastani wa A anayekufuata ana C wanakuchukuchua tu so be exceptional.

Mdogo wangu naye kamaliza chuo last year kapata bonge la kazi ndani field iliyojaa mtaani HR! Aliitwa inteview na masters holders ana degree tu na uzoefu wa 6months only kapata hiyo kazi, nilikaa naye whole night anajiandaa na interview tunadiscuss possibilities na nikamwambia my darling attitude na confidence basii plus ana vyeti vizuri no he is flying manager now na hata Masters bila kusahau hiyo kampuni we know nobodyyy!

So u can mnaotafuta kazi usikatishwe tamaa oohh lazima ujue mtu or uhonge! Ss tuliotoka bush hatuna adress town tusingepata kazi nzuri
Hongera mkuu ila ni kwa wachache. Sijasema kuwa hakuna wanaopata kazi bila mtu ila nimesema kwa taasisi nyeti za ulaji wako watoto wa wakubwa na wanaingia kwa vimemo na wengi qualifications hawana. Hivi una habari kuna taasisi fulani baadhi ya CV imara na vyeti vinaondolewa katila mchakato wa evaluation ya kupata shortlist ya interview? Sina haka ya kukutafunia sana ila hali ni tete!!!! Vimemo vipo, kataa au kubali. Binafsi sikupata kazi kwa kimemo ila tunayoyaona yanatisha!!!!
 
hiyo ilikua mbaya sana tena inakera sana mi nahisi nilibimoa tu ili hawa watu kama sio kujifunza basi WAAIBIKE
:shock: kwani hata ningekaa kimya bado hiyo kazi ningepata
 
Jana nilienda kufanya test ya PSPF pale DUCE post ya compliance officer grade II niliyo yaona sikuamini macho yangu na nilipigwa na butwaa nisijue hatua gani ya kuchukua na mwisho wa siku nikaaamua kumwachia Mungu maana sikutaka kuongeza maadui maishani mwangu.
Ni hivi kwawalio kuwepo watanielewa, nilikaa upande wa majina ya E,F,G NA H na mbele yangu alikaa dada/mama mmoja ambae alikuwa na answer sheet mbili, ila tulizopewa ni moja je hiyo ya pili yeye kaipata wapi? na alizibana pamoja ili mtu asigundue kuwa anazo mbili na nilivyo iyona ilikuwa imeshajazwa kabisa ni swala la kuandika jina na kukusanya tu. Ilinikera sana na kuamini bado kuna tatizo kubwa la kupata ajira kwa haki, kama test zenyewe zinavuja hivyo then utasema washindi wamepatikana kihalali? INGEKUWA WEWE NI MIMI UNGEFANYAJE? JE NINGELILIPUA PALE Holini ingekuwa sawa au ningechafua mazingira? Hata number yake niliishika kabisa na niliporudi home nikaangalia majina na jinalake linaanzia na E.......

Edith au Edna
 
Du pole sana na bora ulivyonyamaza maana hicho ni chakula cha wakubwa na huyo Invigilator alikuwa anajuwa kila kitu ndio maana akajifanya hamuoni MUNGU atakupa kingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom