Sio lazima photo shop inawezekana kabisa kujenga hiyo kitu na ni rahisi tuLimejengwa kwa genge picha / picha duka aka photo shop!
Kama imepakwa rangi ya anga how do you explain kwa chini hapo kabisa mbona bomba halionekani?? Je liko transparent?? Maana halijaziba hata view ya miti kule nyuma au huo ukuta kwa nyuma yakeUnapoliona liko hewani ni kuwa hilo bomba limepakwa rangi inafanana na ile rangi ya anga.
Masudi kipanya anaelewa
Mkuu uko sahihi.Kuna pipe katikati hapo maji yanapotiririka imeenda mpaka kule juu imeungana na hiyo koki.. Hiyo pipe pia ndiyo inayopitisha maji ambayo yako kwenye high pressure na nadhani itakuna na outlets zaidi ya nne au tano au zaidi ili kufanya maji yatirirke pande zote ili kutengeneza illusion kama hiyo koki kubwa ndiyo inayotiririsha maji na pia ili kuconseal hiyo pipe yenyewe isionekane ka urahisi na naamini itakuwa iko painted in white colour..
Hahaha! Hell NOcalourless pipe connected
Angalia kwamakini kidogoSio lazima photo shop inawezekana kabisa kujenga hiyo kitu na ni rahisi tu
Kama imepakwa rangi ya anga how do you explain kwa chini hapo kabisa mbona bomba halionekani?? Je liko transparent?? Maana halijaziba hata view ya miti kule nyuma au huo ukuta kwa nyuma yake
uko sahihiKatikati kuna pipe ndio inayotoa maji, imeunganishwa na hiyo koki, halafu koki haifunguki kwa ndani
kama ulikuepo kichwani kwangu ivKatikati kuna pipe ndio inayotoa maji, imeunganishwa na hiyo koki, halafu koki haifunguki kwa ndani
mkuu umemaliza,Kuna pipe katikati hapo maji yanapotiririka imeenda mpaka kule juu imeungana na hiyo koki.. Hiyo pipe pia ndiyo inayopitisha maji ambayo yako kwenye high pressure na nadhani itakuwa na outlets zaidi ya nne au tano au zaidi ili kufanya maji yatirirke pande zote ili kutengeneza illusion kama hiyo koki kubwa ndiyo inayotiririsha maji na pia ili kuconseal hiyo pipe yenyewe isionekane kwa urahisi na naamini itakuwa iko painted in white colour..