MPAMBANAJI.COM
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 712
- 331
Kwa wafanya tadhimini bado tunaendelea kuchambua mambo na kweli suala la ukosefu wa elimu ya uraia na udini ndicho chanzo kukuu cha CHADEMA kushindwa uchaguzi mkuu uliopita. Wemgi waliowaislamu bado wanaamini kuwa Dr bado no Padri na hajui lolote kuhusu taaluma yake nyimgine mbali na upadri. Mi muhimu sana kutoa elimu ya uma na siasa zisizo na mrengo wa kidini ndani yake. Hili ni moja ya mambo CHADEMA wayohitaji kuelimisha umma wa Tanzania kwa sasa.