Hili likoje?

Kel-dizo

JF-Expert Member
Mar 24, 2015
423
168
Mwanaume akizeeka huota upala lakini kwa upande wa mwanamke hali ni tofauti kwanini? Mwenye ufahamu naomba anifafanulie mimi na wenzangu ambao hawana ufahamu juu ya hili swala.
 
Back
Top Bottom