Kama ulikaa Kondoa lazima utatoka na data hizi maana huko kila ukizunguuka asilimia kubwa utaokutana nao ni warangi vivyo hivyo ukiwa Ngudu, Kwimba wananchi wengi ni wasukuma hivyo nako utatoka na findings kama hizo za mademu wa kirangi, sasa ukiwa nje ya hapo uta justify vipi wakati hao warangi wenyewe ni wa kuhesabu?