Hatutaki heri yako ya mwaka mpya.....najua roho zinawauma sana jinsi JPM anavyopiga kazi..na baaaadoJMP aliposema eti ametaifisha shule ya ccm (Omwani) na kuwa ya serikali watu wakashangilia na kudai eti ni mzalendo wa kweli.
Kwa ufupi tu ni kwamba kwa wanaoifahamu shule ya omwani hawawezi kushangilia hiki kitu.
Shule hii haikuwa productive kwa ccm na ilikuwa ni mzigo kwa ccm na ilikuwa inajiendesha kwa hasara. Ni shule ambayo ilikuwa inabeba makapi ya wanafunzi na wale wazazi walikuwa hawana huwezo wa kupeleka watoto katika shule zenye sifa nzuri yankufaukisha.
Pili hili jambo lilishajadilika kwenye vikao vya ccm namna ya kutua huo mzigo. Na ndio maana unaona serikali inabeba mzigo wote hadi wa waalimu wake ili kuiokoa ccm na mzigo wa madeni. Kwa kifupi huu ni ufisadi mwingine.
Swali la kujiuliza hivi ni kweli shule hii ingekuwa inafanya vizuri katika elimu na ikawa inajiendesha kwa faida JMP angeitaifisha. Jipu ni hapana. CCM wasingekubali kuiachia. Swali lingine dogo tu, Je ccm inashule ngapi na kwanini zisitaifishwe zote!
Watanzania wenzangu tusiwe wepesi wa kushangilia kila jambo bali tujaribu kujiuliza maswali juu ya nini kiko nyuma ya uamzi uliofikiwa.
Kwa hili la shule ya umwani ni sawa na kupewa gari lililojuu ya mawe ambalo mwenye nalo limemsha mshinda. Hapa tumepigwa changa macho.
Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya.
Nyie ni walewale tu wanaolipwa kwa ajili ya kukosoa kila jambo tulishawazoeaJMP aliposema eti ametaifisha shule ya ccm (Omwani) na kuwa ya serikali watu wakashangilia na kudai eti ni mzalendo wa kweli.
Kwa ufupi tu ni kwamba kwa wanaoifahamu shule ya omwani hawawezi kushangilia hiki kitu.
Shule hii haikuwa productive kwa ccm na ilikuwa ni mzigo kwa ccm na ilikuwa inajiendesha kwa hasara. Ni shule ambayo ilikuwa inabeba makapi ya wanafunzi na wale wazazi walikuwa hawana huwezo wa kupeleka watoto katika shule zenye sifa nzuri yankufaukisha.
Pili hili jambo lilishajadilika kwenye vikao vya ccm namna ya kutua huo mzigo. Na ndio maana unaona serikali inabeba mzigo wote hadi wa waalimu wake ili kuiokoa ccm na mzigo wa madeni. Kwa kifupi huu ni ufisadi mwingine.
Swali la kujiuliza hivi ni kweli shule hii ingekuwa inafanya vizuri katika elimu na ikawa inajiendesha kwa faida JMP angeitaifisha. Jipu ni hapana. CCM wasingekubali kuiachia. Swali lingine dogo tu, Je ccm inashule ngapi na kwanini zisitaifishwe zote!
Watanzania wenzangu tusiwe wepesi wa kushangilia kila jambo bali tujaribu kujiuliza maswali juu ya nini kiko nyuma ya uamzi uliofikiwa.
Kwa hili la shule ya umwani ni sawa na kupewa gari lililojuu ya mawe ambalo mwenye nalo limemsha mshinda. Hapa tumepigwa changa macho.
Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya.
Limetaifishwa shamba la sumayi mkasema ni mpinzani imetaifishwa shule mnasema anatua mzigo, mbona akili yenu ka ya shetani? kila kitu nyie kibaya tu, simlisema imekarabatiwa kwa fedha za misaada sasa kaitaifisha mnaanza kulalamika, akili yenu ya hovyo sana.JMP aliposema eti ametaifisha shule ya ccm (Omwani) na kuwa ya serikali watu wakashangilia na kudai eti ni mzalendo wa kweli.
Kwa ufupi tu ni kwamba kwa wanaoifahamu shule ya omwani hawawezi kushangilia hiki kitu.
Shule hii haikuwa productive kwa ccm na ilikuwa ni mzigo kwa ccm na ilikuwa inajiendesha kwa hasara. Ni shule ambayo ilikuwa inabeba makapi ya wanafunzi na wale wazazi walikuwa hawana huwezo wa kupeleka watoto katika shule zenye sifa nzuri yankufaukisha.
Pili hili jambo lilishajadilika kwenye vikao vya ccm namna ya kutua huo mzigo. Na ndio maana unaona serikali inabeba mzigo wote hadi wa waalimu wake ili kuiokoa ccm na mzigo wa madeni. Kwa kifupi huu ni ufisadi mwingine.
Swali la kujiuliza hivi ni kweli shule hii ingekuwa inafanya vizuri katika elimu na ikawa inajiendesha kwa faida JMP angeitaifisha. Jipu ni hapana. CCM wasingekubali kuiachia. Swali lingine dogo tu, Je ccm inashule ngapi na kwanini zisitaifishwe zote!
Watanzania wenzangu tusiwe wepesi wa kushangilia kila jambo bali tujaribu kujiuliza maswali juu ya nini kiko nyuma ya uamzi uliofikiwa.
Kwa hili la shule ya umwani ni sawa na kupewa gari lililojuu ya mawe ambalo mwenye nalo limemsha mshinda. Hapa tumepigwa changa macho.
Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya.
Kwani shida iko wapi..mimi sijaelewa vizuri hebu nisaidie kunielewesha mkuu...maana mimi naona kwamba hata kama hiyo shule imeshindwa kujiendesha..je serikali ikiichukua si inakua ni nafuu kwa serikali kwa sababu imepata shule pasipo kuingia gharama kubwa ukizingatia shule zilizopo hazitoshi nchini.Mleta mada upo sahihi kabisa.
Mpaka sasa bado hatujajua Mantiki, Sheria, Kanuni, Utaratibu, Faida au Hasara za kuitafisha shule hiyo.
Litakuwa ni jambo la ajabu sana kushangilia kitu tusichokijua.
Kwanini Shule hiyo tu?
JMP aliposema eti ametaifisha shule ya ccm (Omwani) na kuwa ya serikali watu wakashangilia na kudai eti ni mzalendo wa kweli.
Kwa ufupi tu ni kwamba kwa wanaoifahamu shule ya omwani hawawezi kushangilia hiki kitu.
Shule hii haikuwa productive kwa ccm na ilikuwa ni mzigo kwa ccm na ilikuwa inajiendesha kwa hasara. Ni shule ambayo ilikuwa inabeba makapi ya wanafunzi na wale wazazi walikuwa hawana huwezo wa kupeleka watoto katika shule zenye sifa nzuri yankufaukisha.
Pili hili jambo lilishajadilika kwenye vikao vya ccm namna ya kutua huo mzigo. Na ndio maana unaona serikali inabeba mzigo wote hadi wa waalimu wake ili kuiokoa ccm na mzigo wa madeni. Kwa kifupi huu ni ufisadi mwingine.
Swali la kujiuliza hivi ni kweli shule hii ingekuwa inafanya vizuri katika elimu na ikawa inajiendesha kwa faida JMP angeitaifisha. Jipu ni hapana. CCM wasingekubali kuiachia. Swali lingine dogo tu, Je ccm inashule ngapi na kwanini zisitaifishwe zote!
Watanzania wenzangu tusiwe wepesi wa kushangilia kila jambo bali tujaribu kujiuliza maswali juu ya nini kiko nyuma ya uamzi uliofikiwa.
Kwa hili la shule ya umwani ni sawa na kupewa gari lililojuu ya mawe ambalo mwenye nalo limemsha mshinda. Hapa tumepigwa changa macho.
Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya.
Kwa hiyo Nyerere alitaifisha shule moja?Nyerere alipotaifisha shule za Makanisa alikuwa na nia ya kutua mzigo wa kanisa?

Limetaifishwa shamba la sumayi mkasema ni mpinzani imetaifishwa shule mnasema anatua mzigo, mbona akili yenu ka ya shetani? kila kitu nyie kibaya tu, simlisema imekarabatiwa kwa fedha za misaada sasa kaitaifisha mnaanza kulalamika, akili yenu ya hovyo sana.