Hili la Salim Kikeke kuhusu masoko ya Nguruwe mnalionaje ndugu zetu waislamu?

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
1,413
Reaction score
5,150
Kada wa ccm ndugu Salimu Kikeke ambaye pia ni muumini lialia wa dini ya pendwa ya mnyezi mungu (Islam) ameahidi kutanua WiGo wa soko la Nguruwe hapo Moshi vijijini,ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.

Swali langu kwenu ndugu zangu waisalmu , je hii ni sawaa kwa muislamu kuhanikiza biashara ya Nguruwe kama sehemu ya sera za kisiasa?na kama jibu ni hapana mtu huyu atakabiliwa na mabaraha gani kiimani hapo mbeleni?
 
Attachments

  • x-downloader.com_aB36UJ.mp4
    7.3 MB
Kada wa ccm ndugu Salimu Kikeke ambaye pia ni muumini lialia wa dini ya pendwa ya mnyezi mungu (Islam) ameahidi kutanua WiGo wa soko la Nguruwe hapo Moshi vijijini,ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.

Swali langu kwenu ndugu zangu waisalmu , je hii ni sawaa kwa muislamu kuhanikiza biashara ya Nguruwe kama sehemu ya sera za kisiasa?na kama jibu ni hapana mtu huyu atakabiliwa na mabaraha gani kiimani hapo mbeleni?
Yupo sawa kabisa kabisa hata ww kati Allah na Pesa za CCM unachagua nini shtuka pesa unaiona wazi wazi hii je Allah unauhakika utamkuta soma vitabu ujanjaruke kama Salim kikeke Mwislamu wa UKWELI huyo ..
 
Sasa unaniuliza Mimi kati ya Allah na pesa , badala uwaulize waisalmu?hivi umesoma Uzi vizuri?
 
Kada wa ccm ndugu Salimu Kikeke ambaye pia ni muumini lialia wa dini ya pendwa ya mnyezi mungu (Islam) ameahidi kutanua WiGo wa soko la Nguruwe hapo Moshi vijijini,ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.

Swali langu kwenu ndugu zangu waisalmu , je hii ni sawaa kwa muislamu kuhanikiza biashara ya Nguruwe kama sehemu ya sera za kisiasa?na kama jibu ni hapana mtu huyu atakabiliwa na mabaraha gani kiimani hapo mbeleni?
KUSEMA SIYO KUTEKELEZA
 
Yupo sawa kabisa kabisa hata ww kati Allah na Pesa za CCM unachagua nini shtuka pesa unaiona wazi wazi hii je Allah unauhakika utamkuta soma vitabu ujanjaruke kama Salim kikeke Mwislamu wa UKWELI huyo ..
Kikeke ni wale Morden Muslim!,swala la nguruwe halimuumizi sana mradi hali yeye,kwa nini sasa awazuiwiye walaji wa hiyo kitu!!??
 
Kada wa ccm ndugu Salimu Kikeke ambaye pia ni muumini lialia wa dini ya pendwa ya mnyezi mungu (Islam) ameahidi kutanua WiGo wa soko la Nguruwe hapo Moshi vijijini,ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.

Swali langu kwenu ndugu zangu waisalmu , je hii ni sawaa kwa muislamu kuhanikiza biashara ya Nguruwe kama sehemu ya sera za kisiasa?na kama jibu ni hapana mtu huyu atakabiliwa na mabaraha gani kiimani hapo mbeleni?
Kikeke kila akiongea ni nilipokua ulayaaaa nilipokua ulayaaaa

wajumbe kateni
 
Yaani kakosa sera nyingine karukia ya Nguruwe. Mbona wananchi wa huko wana mahitaji mengi muhimu kuliko nyama?
 
Makobaz ni wanafiki kinoma, hadharani wanajifanya hawali kitimoto Ila ndani kwao wamejaza kwenye friji wanafanya kumchomoa na kupika rost 😂
 
KUSEMA SIYO KUTEKELEZA
Mmekuja kumtetea kobaz mwenzenu 😂

Nyie makobazi hapa ndo mnaponichekesha, kitimoto ni haramu ila ukiwa na njaa ya kufa n ruksa kula 😂 sasa inakuaje haramu hy hy tena inakuwa halal
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom