Katika gazeti la Raia mwema la jana May 2, ana makala yenye kichwa cha habari 'Mwalimu Nyerere amefufuka.Yuko Sumbawanga'katika aya ya pili ya makala yake anaandika,"kisa ninachokisimulia kwenye makala hii ni cha kweli na kimetokea mbele ya macho yangu pamoja na watu wengine niliokuwa nao kwenye gari.Tumekutana na Mwalimu Nyerere! akiwa mzima."
Haya mambo ya 'kusadikika' kwa nini yanapewa nafasi katika magazeti haya makini? Kwa nini yasipelekwe kwenye vile vigazeti vya udaku?
ARV, Nimesoma hiyo article ya Karugendo na sijaona ni wapi amekosea. Kama umesoma 'headline' peke yake utapata dhana potofu, lakini kubwa kama hujaenda shule basi unaweza kupata tafsiri potofu.Katika gazeti la Raia mwema la jana May 2, ana makala yenye kichwa cha habari 'Mwalimu Nyerere amefufuka.Yuko Sumbawanga'katika aya ya pili ya makala yake anaandika,"kisa ninachokisimulia kwenye makala hii ni cha kweli na kimetokea mbele ya macho yangu pamoja na watu wengine niliokuwa nao kwenye gari.Tumekutana na Mwalimu Nyerere! akiwa mzima."
Haya mambo ya 'kusadikika' kwa nini yanapewa nafasi katika magazeti haya makini? Kwa nini yasipelekwe kwenye vile vigazeti vya udaku?
Huyu bwana ni nini kilimfanya akaasi Upadri?