CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,732
- 5,931
Hata kama ni kubana matumizi lakini kwa Hapa nasema wazi kuwa this is too much!
Kwamba mtihani huu hautakuwa wa mchujo tena na wote watakwenda kidato cha tatu HAKUNA KUFELI* Kwa hili niseme mama Ndalichako umepitiwa hivi ile juhudi yako kweli imeishia Hapa? tayari mama na wewe umekuwa mwanasiasa? kufurahisha mass? hivi nani aisyejua umuhimu Wa mtihani Wa kidato cha pili? kwanini mtihani huu muufute kijanja? kwa kusema eti utaandaliwa na Wizara lakini shule itatumiwa nakala moja moja watoe kopi wenyewe wasimamie wenyewe...watoe matokeo wenyewe!!
Kwa Hapa serikali yangu ya Hapa kazi tu mmechemka.. Msema kweli ni mpenzi Wa Mungu!!