Tanzania ina historia mbaya ya kutolipa hadi mbinde.Siyo kwamba hawataki kutoa...
Lahasha.. Pesa zote wameelekeza kwenye miradi mikubwa, wapo weupe... Tanzania ya viwanda...
Cc: mahondaw
Tanzania ni nchi pekee watu wake ndio wasahalifu kuliko nchi yeyote, leo watu wanalalamika ikifika kipindi cha uchaguzi anasahau kila kitu anakuwa mfia chama
Naona wanapima upepo unaelekea wapi
Sina la kuongeza kwa sababu maelezo yako yote yanaonyesha ilivyo risk kwa mifuko ya jamii kutumia fedha za wastaafu kuanzisha viwanda!Hakuna shida ya mifuko ya hifadhi ya jamii kuwekeza kwenye manufacturing sector. Sukari ni bithaa ambayo uwekezaji wake ukifanyika vizuiri return on investment is assured!! Tatizo linaweza kuwa ni management team ya kuendesha hivyo viwanda katika mazingira ya soko la sasa. Muhimu zaidi kukumbuka ni core activity ya mifuko ya hifadhi ya jamii- Kazi ya msingi ya msingi ya mifuko ya hifadhi ya jamii si kujenga na kuendesha viwanda kazi yake ni hifadhi ya jamii! Kazi nyingine hizi zinaweza kufanywa na mifuko hii kama kazi ya msingi ya awali inatekelezwa kwa asilimia 100%.
Karibu utupe darasaNSSF hawataki kutoa FAO kwa sababu kuu MBILI ambazo niliambiwa na staff mmoja pale UBUNGO PLAZA ,kuwa wanatakiwa kufanya
a) KUHAKIKISHA WANACHAMA WANAONGEZEKA NA HAWAJITOI
b) KUHAKIKISHA WATU HAWAJITOI BASI WANAZUIA FAO LAKO WAKIAAMINI UTAPATA TENA KAZI NA UENDELEE NA UANACHAMA WAKO
katika kuhakikisha hayo KINONDONI imekua kama sehemu ya majaribio hivyo wameanza kuzungusha watu ili ukate tamaa utafute kazi ( sijui kama wana uhakika kuwa utapata ) na ndio maana wameanzisha utaratibu wa watu wanaodai FAO waandike BARUA ( fika ubungo utaona barua ya mfano ,yaani fao lako,kazi umefukuzwa wewe lakini wao watakuambia andika BARUA ya kwanini UPEWE FAO LAKO, kifupi hawa jamaa HAWATAKI KUTOA HIZO HELA
nitarudi kueleza MENGI niliyoambiwa na kujionea hapo NSSF UBUNGO PLAZA
Mimi siko ACACIA na wala siwashwiwashwi. .Nimetoa maoni kulingana na hali ilivyo kwenye mifuko ya jamii. Ushauri wangu kwa serikali hii ya CCM. Watoe maelekezo sahihi kwa mifuko hii waache watu wachukue fedha zao wakafanye shuguli za uzalishaji. Vinginevyo wajiandae kufungasha virago.Unajua yanapowafika ndio mnaelewa umuhimu wa watu kama Tundu Lisu waliopigia sana kelele suala ili,naelewa wewe uko ACACIA na umesomeshwa namba,tulia ndugu dozi iingie vizuri,acha kuwashwawashwa
Mkuu ni jambo baya sana linafanywa na mifuko hii, kwa mtu ambaye halijamtokea hili hawezi jua maumivu yake, ila kwa sisi wahanga tuna mengi ya kusimuliaMimi siko ACACIA na wala siwashwiwashwi. .Nimetoa maoni kulingana na hali ilivyo kwenye mifuko ya jamii. Ushauri wangu kwa serikali hii ya CCM. Watoe maelekezo sahihi kwa mifuko hii waache watu wachukue fedha zao wakafanye shuguli za uzalishaji. Vinginevyo wajiandae kufungasha virago.