Hili la mifuko ya jamii linatosha kuing'oa CCM madarakani

Habari zenu wadau wa JF,
Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu changa japo lina umri wa miaka zaidi ya 56 tangu lizaliwe Desemba 1961.

Baada ya salaam hizo ningependa kujikita katika mada tajwa hapo juu. Hivi sasa kumekuwa na sintofahamu inayoendelea katika mifuko ya jamii hasa NSSF na PPF mifuko yenye wachangiaji wengi nchini. Hii mifuko imekuwa kero kuliko kata kero yenyewe.

Kwa mfano NSSF hawataki kutoa mafao ya watu walioachishwa kazi na wala si mapenzi yao kuacha kazi bali wameachishwa kwa lazima. mnapokatalia mafao yake mnatagemea huyo mtu ataishije ili hali ajira nchini ni finyu sana? Kuna ndugu yangu ameachishwa kazi tangu desemba mwaka jana alikuwa akichangia NSSF, alipoenda kudai mafao ya kujitoa wakamwambia asubiri miezi 6. Baada ya miezi sita ameambiwa tena asubiri meizi miwili. Hiyo miezi miwili imesisha bado anasumbuliwa. Hivi haya manyanyaso wanayofanyiwa watanzania maskini, CCM inajua kuwa ndio kitanzi chale mwaka 2020?

Wabunge wanaelewa kuwa kwa kunyamaza kwao kimya hawatendei haki wananchi wao? Hivi hawa wabunge wanatambua kuwa yeyote atakaye lisimamia hili sula la mafao ya kujitoa atakuwa ni shujaa wa taifa? mbona mnashupalia vitu vingine visivyo na umuhimu mnaacha hili linalogusa watu wengi tena wengi wao maskini? Acacia wamepunguza wafanyakazi, makampuni mengi na serikali yenyewe wanapunguza wafanyakazi, hivi mandhani wanaishi vipi? Mtasema CCM haihusiki? wengi wanjaua kuwa watendaji hufuata maelekezo ya watawala.

Come 2020!
Wastaafu wa NSSF hivi sasa hawana uhakika wa tarehe ya malipo yao ya mwezi, hakuna sababu zinazotolewa kuhusu adha wanayoipata wazee hawa ya nenda rudi kwenye vituo vya malipo.
 
Tatizo hii mifuko imekuwa ni shamba la bibi. ni aibu sana mfanyakazi amechangia miaka nenda rudi leo unasumbuliwa nenda rudi. kibaya zaidi kinacholipwa hakiendani na hali halisi iliyopo!
 
NSSF, PPF na mifuko mingine sasa hivi imejikita kujenga viwanda ili kuifurahisha serikali kwenye "Tanzania ya viwanda". Mifuko hiyo imejilipua kuingia katika ujenzi wa viwanda kwa kutumia fedha bila kuwashirikisha wenye fedha! Sasa hizo fedha ambazo mifuko hiyo inatumia kujenga viwanda ili tu kumfurahisha Mkubwa watazirejeshaje? Hapo sasa ndipo bila shaka danadana kwenye ulipwaji wa mafao itashamiri!

Hakuna shida ya mifuko ya hifadhi ya jamii kuwekeza kwenye manufacturing sector. Sukari ni bithaa ambayo uwekezaji wake ukifanyika vizuiri return on investment is assured!! Tatizo linaweza kuwa ni management team ya kuendesha hivyo viwanda katika mazingira ya soko la sasa. Muhimu zaidi kukumbuka ni core activity ya mifuko ya hifadhi ya jamii- Kazi ya msingi ya msingi ya mifuko ya hifadhi ya jamii si kujenga na kuendesha viwanda kazi yake ni hifadhi ya jamii! Kazi nyingine hizi zinaweza kufanywa na mifuko hii kama kazi ya msingi ya awali inatekelezwa kwa asilimia 100%.
 
Tatizo kubwa ni kutaka kutumia pesa za watu kujenga viwanda ili hali hawana ujuzi wala uzoefu katika kazi hizo. Kazi ya mifuko ya jamii ni kukusanya michango ya wananchama na kuisimamia.wanaweza kuwekeza kwenye hisa na dhamana za serikali lakini sio kuingia wao wenyewe kwenye operation kama viwanda. tujiandae kwa anguko kubwa la mashirika haya.
 
Ni maumivu kwa wengi natamani angekuwepo was kutusemea katika ili ili Pesa zetu zitoke
 
Mkaandamane. Kwani wewe pale Arusha, kipindi wanasema mwenye shida mwingine, ilitakiwa upeleke ujumbe uulize. Next time akiwa na Ziara, peleka kero yako.
 
Tuache porojo ktk mambo magumu....2015 kura halali 15,193,862..CCM 8,882,925..CDM 6,724,048..jumla 15,606,973..ni nyingi kuliko kura halali...Katiba mpya tuidai hata kwa damu kumwagika au mizee yote ya utumwani ife
 
Habari zenu wadau wa JF,
Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu changa japo lina umri wa miaka zaidi ya 56 tangu lizaliwe Desemba 1961.

Baada ya salaam hizo ningependa kujikita katika mada tajwa hapo juu. Hivi sasa kumekuwa na sintofahamu inayoendelea katika mifuko ya jamii hasa NSSF na PPF mifuko yenye wachangiaji wengi nchini. Hii mifuko imekuwa kero kuliko kata kero yenyewe.

Kwa mfano NSSF hawataki kutoa mafao ya watu walioachishwa kazi na wala si mapenzi yao kuacha kazi bali wameachishwa kwa lazima. mnapokatalia mafao yake mnatagemea huyo mtu ataishije ili hali ajira nchini ni finyu sana? Kuna ndugu yangu ameachishwa kazi tangu desemba mwaka jana alikuwa akichangia NSSF, alipoenda kudai mafao ya kujitoa wakamwambia asubiri miezi 6. Baada ya miezi sita ameambiwa tena asubiri meizi miwili. Hiyo miezi miwili imesisha bado anasumbuliwa. Hivi haya manyanyaso wanayofanyiwa watanzania maskini, CCM inajua kuwa ndio kitanzi chale mwaka 2020?

Wabunge wanaelewa kuwa kwa kunyamaza kwao kimya hawatendei haki wananchi wao? Hivi hawa wabunge wanatambua kuwa yeyote atakaye lisimamia hili sula la mafao ya kujitoa atakuwa ni shujaa wa taifa? mbona mnashupalia vitu vingine visivyo na umuhimu mnaacha hili linalogusa watu wengi tena wengi wao maskini? Acacia wamepunguza wafanyakazi, makampuni mengi na serikali yenyewe wanapunguza wafanyakazi, hivi mandhani wanaishi vipi? Mtasema CCM haihusiki? wengi wanjaua kuwa watendaji hufuata maelekezo ya watawala.

Come 2020!
 
wabunge hawawezi kupigia kelele hili kwasababu wao haliwagusi,miaka mitano ikiisha wanapata mafao yao nafikiri huu utaratibu ungewagusa tungepata pakuanzia.
 
Aisee...... Hii ndio inch pekee dunia serekali haiwagopi wananch kabisa.
Hii ndo nchi pekee duniani mtu unaachishwa/unaacha kazi mifuko inakupa michango uliochangia na kupoteza ile maana halisi iliyoianzisha
 
Kuiondoa CCM mbona agenda zipo nyingi tu sema hata vyama vya upinzani Tanzania ni vya kibogus, havina agenda wala havijielewi. Hata AJIRA ni bonge la agenda lakini wamekaa kama mazwazwa tu mara BUNGE LIVE, MIKUTANO YA SIASA
 
Siyo kwamba hawataki kutoa...

Lahasha.. Pesa zote wameelekeza kwenye miradi mikubwa, wapo weupe... Tanzania ya viwanda...

Cc: mahondaw
 
Cha ajabu huyo ndugu yako ataichagua ccm kwa raha zotez mwache anyooshwe tu somo limuingie.
Mwalimu wangu akinifundisha primary schoo alikuwa akisema" fimbo huota mgonhoni mwa mwana mpumbavu"
Habari zenu wadau wa JF,
Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu changa japo lina umri wa miaka zaidi ya 56 tangu lizaliwe Desemba 1961.

Baada ya salaam hizo ningependa kujikita katika mada tajwa hapo juu. Hivi sasa kumekuwa na sintofahamu inayoendelea katika mifuko ya jamii hasa NSSF na PPF mifuko yenye wachangiaji wengi nchini. Hii mifuko imekuwa kero kuliko kata kero yenyewe.

Kwa mfano NSSF hawataki kutoa mafao ya watu walioachishwa kazi na wala si mapenzi yao kuacha kazi bali wameachishwa kwa lazima. mnapokatalia mafao yake mnatagemea huyo mtu ataishije ili hali ajira nchini ni finyu sana? Kuna ndugu yangu ameachishwa kazi tangu desemba mwaka jana alikuwa akichangia NSSF, alipoenda kudai mafao ya kujitoa wakamwambia asubiri miezi 6. Baada ya miezi sita ameambiwa tena asubiri meizi miwili. Hiyo miezi miwili imesisha bado anasumbuliwa. Hivi haya manyanyaso wanayofanyiwa watanzania maskini, CCM inajua kuwa ndio kitanzi chale mwaka 2020?

Wabunge wanaelewa kuwa kwa kunyamaza kwao kimya hawatendei haki wananchi wao? Hivi hawa wabunge wanatambua kuwa yeyote atakaye lisimamia hili sula la mafao ya kujitoa atakuwa ni shujaa wa taifa? mbona mnashupalia vitu vingine visivyo na umuhimu mnaacha hili linalogusa watu wengi tena wengi wao maskini? Acacia wamepunguza wafanyakazi, makampuni mengi na serikali yenyewe wanapunguza wafanyakazi, hivi mandhani wanaishi vipi? Mtasema CCM haihusiki? wengi wanjaua kuwa watendaji hufuata maelekezo ya watawala.

Come 2020!
 
Wale wana regulate na kumantain ujinga?
Kati ya mashirika ambayo hawaelewi ugumu wa maisha ni haya mashirika ya hifadhi ya jamii.

Kwanza, namna yao ya kupata fedha ni rahisi kuliko kitu chochote. Wao wanakaa ofisini kuanzia Jan 1st - Dec 31st kazi yao ni kusubiri michango na michango isipokuja kwa wakati wanakupiga faini. They simply do not toil for the money!!

Kwa sababu hawana uchungu na fedha wanazoletewa hawako makini hata kwa aina ya uwekezaji wanaofanya- angalia majengo yao mengi waliojenga na kuyaita vitega uchumi, mengi yao hayana wapangaji. Mifano ipo mingi sana, ila inayosikitisha sana ni jengo lililojengwa na NSSF Moshi ambalo halina kabisa wapangaji. Ukiuliza rent zao utashangaa wanacharge kwa squre meters - nani anaweza kulipia pango kwa square meters kwa uchumi huu?

Kwa sasa kuna recession kubwa sana ya uchumi, makampuni mengi yamepunguza wafanyakazi,- tegemeo pekee la wafanyakazi hao kulingana na hali halisi ya mishahara yetu ni akiba kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii. pamekuwepo na politics nyingi sana kwenye suala hili- mara fao limesitishwa, mara kutakuwepo malipo ya ukosefu wa jira kwa kipindi fulani , mara malipo ni baada ya miezi sita- simply there a constructed confusion . Wakati haya yote yanatokea kuna Taasisi inaitwa SSRA sijui wana-regulate nini?
 
Habari zenu wadau wa JF,
Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu changa japo lina umri wa miaka zaidi ya 56 tangu lizaliwe Desemba 1961.

Baada ya salaam hizo ningependa kujikita katika mada tajwa hapo juu. Hivi sasa kumekuwa na sintofahamu inayoendelea katika mifuko ya jamii hasa NSSF na PPF mifuko yenye wachangiaji wengi nchini. Hii mifuko imekuwa kero kuliko kata kero yenyewe.

Kwa mfano NSSF hawataki kutoa mafao ya watu walioachishwa kazi na wala si mapenzi yao kuacha kazi bali wameachishwa kwa lazima. mnapokatalia mafao yake mnatagemea huyo mtu ataishije ili hali ajira nchini ni finyu sana? Kuna ndugu yangu ameachishwa kazi tangu desemba mwaka jana alikuwa akichangia NSSF, alipoenda kudai mafao ya kujitoa wakamwambia asubiri miezi 6. Baada ya miezi sita ameambiwa tena asubiri meizi miwili. Hiyo miezi miwili imesisha bado anasumbuliwa. Hivi haya manyanyaso wanayofanyiwa watanzania maskini, CCM inajua kuwa ndio kitanzi chale mwaka 2020?

Wabunge wanaelewa kuwa kwa kunyamaza kwao kimya hawatendei haki wananchi wao? Hivi hawa wabunge wanatambua kuwa yeyote atakaye lisimamia hili sula la mafao ya kujitoa atakuwa ni shujaa wa taifa? mbona mnashupalia vitu vingine visivyo na umuhimu mnaacha hili linalogusa watu wengi tena wengi wao maskini? Acacia wamepunguza wafanyakazi, makampuni mengi na serikali yenyewe wanapunguza wafanyakazi, hivi mandhani wanaishi vipi? Mtasema CCM haihusiki? wengi wanjaua kuwa watendaji hufuata maelekezo ya watawala.

Come 2020!
wabunge nao wamekaa kimya kazi kujali maslahi yao tu. hapo solution sio kusubur ccm wala nini. huwezi jua pia huyo utakayemuweka atawapa hela au vip. cha muhim hapo ni watu kufungua shauro mahakamani
 
Kwan tatizo limeanza leo?hapana kwa hiyo ccm hawezi kutoka madarakani kwa hoja hizo, that's why serikali Inataka ipeleke muswada wa jambo hilo bungen
Ndiyo, tatizo limeanza awamu hii baada ya mifuko ya jamii kuanza kutumia fedha za wastaafu kujengea viwanda!
 
Habari zenu wadau wa JF,
Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu changa japo lina umri wa miaka zaidi ya 56 tangu lizaliwe Desemba 1961.

Baada ya salaam hizo ningependa kujikita katika mada tajwa hapo juu. Hivi sasa kumekuwa na sintofahamu inayoendelea katika mifuko ya jamii hasa NSSF na PPF mifuko yenye wachangiaji wengi nchini. Hii mifuko imekuwa kero kuliko kata kero yenyewe.

Kwa mfano NSSF hawataki kutoa mafao ya watu walioachishwa kazi na wala si mapenzi yao kuacha kazi bali wameachishwa kwa lazima. mnapokatalia mafao yake mnatagemea huyo mtu ataishije ili hali ajira nchini ni finyu sana? Kuna ndugu yangu ameachishwa kazi tangu desemba mwaka jana alikuwa akichangia NSSF, alipoenda kudai mafao ya kujitoa wakamwambia asubiri miezi 6. Baada ya miezi sita ameambiwa tena asubiri meizi miwili. Hiyo miezi miwili imesisha bado anasumbuliwa. Hivi haya manyanyaso wanayofanyiwa watanzania maskini, CCM inajua kuwa ndio kitanzi chale mwaka 2020?

Wabunge wanaelewa kuwa kwa kunyamaza kwao kimya hawatendei haki wananchi wao? Hivi hawa wabunge wanatambua kuwa yeyote atakaye lisimamia hili sula la mafao ya kujitoa atakuwa ni shujaa wa taifa? mbona mnashupalia vitu vingine visivyo na umuhimu mnaacha hili linalogusa watu wengi tena wengi wao maskini? Acacia wamepunguza wafanyakazi, makampuni mengi na serikali yenyewe wanapunguza wafanyakazi, hivi mandhani wanaishi vipi? Mtasema CCM haihusiki? wengi wanjaua kuwa watendaji hufuata maelekezo ya watawala.

Come 2020!
Nasikia kuna special offer kwa wafanyakazi wa Acacia buly, watapewa ndani ya mwezi mmoja, ni kweli hizi tetesi?, fuatilia tujuzane
 
Back
Top Bottom