Hili la mifuko ya hifadhi ya jamii kuwekeza kwenye viwanda na muunga mkono sana mheshimiwa rais

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
922
1,472
Jana katika hotuba yake kwa wafanyakazi,mheshimiwa rais aliitaka hii mifuko ya hifadhi ya jamii kujikita zaidi katika kuwekeza kwenye viwanda
Endapo suala hili litafanyiwa kazi natumaini fursa na maisha ya watanzania yataimarika kwa kiasi kikubwa sana mfano mabilioni ya nssf yakitumika kujenga viwanda vya nguo,sabuni kama kile cha Komoa,viwanda vya sukari,matairi nk
Sasa ni wakati muafaka wa serikali kuwapa saport hii mifuko ya hifadhi ya jamii ili waweze kutekeleza kwa ufanisi jambo hilo mfano wa saport ni serikali iwe tayari kuwapatia ardhi ya uwekezaji.
Kila la kheri nchi yangu tanzania
 
Back
Top Bottom