Hili la Makonda UKAWA kataeni kuwaunga mkono CCM

Patriot

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
5,703
4,697
Ilikuwa ni siku chache tu baada ya naibu spika kukataa kuwasikiliza wabunge wa upinzani kwa tatizo la kukamatwa bila taratibu, ndipo RC makonda akaja na awamu ya pili ya watu wanaoweza kuhusika na unga. Ghafla hoja zinaanza za kutaka waungane kupambana na RC Makonda.

Ombi langu kwa wana UKAWA, jitahidini kuwa na akili zenu. Kataeni huo muungano au ndoa ya matatizo ili kuwasafisha wanadhaniwa kudhalilishwa. Kama Bunge halina reasoning wakati wa matatizo ya wenzenu, kwa nini sasa kwa pamoja wanaomba kuungana ili kulinda 'heshima' ya wengine?
 
'..adui wa adui yangu ni Rafiki yangu,na Rafiki wa adui yangu naye pia ni adui yangu..'
 
Back
Top Bottom