Nuraty J
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 1,729
- 3,829
- Thread starter
- #141
yaan kumpeleka mgonjwa wako pale ni bora umpeleke kwa mganga wa mitishamba anaweza pona, sisi wenyewe marehemu alikuwa hataki kabisa tumpeleke paleMloganzila ni mbaya kuliko popote duanian nilienda kufanya vipimo mwaka Jana hivi nikalipa gharama zote mwisho wakanishangaza kusomewa majibu hela nikamwambia nipen Basi ntajua mwenyewe mbele wakagoma mpaka nilipe na hapo nimesafir Kutoka katav mpaka hapo kwa matibabu tu nikaona isiwe kesi nikamwambia mhusika uzur hata wewe utaumwa na utakufa baki na majibu nikaondoka kurud katav Ila Mungu mwema sana sijawah tumia dawa yeyote Ila najihis nimepona kabisa maumivu hayapo kabisa
Ila I wish wenye kuweka hizo Sera sijui sheria wangekufa wote tu hapo tuqmze upya
Mloganzila ni kituo cha upigaji wafe na Sera zao