technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,706
- 58,793
It is the best rhingWatu wanalewa
Wengine nusu uchi
It is the best thing
Dj anapoga nyimbo za dini sio sawa
Imagine sehemu Kama kidimbwi zinapigwa nyimbo za dini duh!!
Halafu leo ijumaa inachomwa kitimoto sio poa
Wewe fwata vilevi hayo mengine achana nayo watajuana na mungu wao usiwe kama watu wa makobazi bhnWatu wanalewa
Wengine nusu uchi
Dj anapoga nyimbo za dini sio sawa
Imagine sehemu Kama kidimbwi zinapigwa nyimbo za dini duh!!
Halafu leo ijumaa inachomwa kitimoto sio poa
Kidimbwi ndio wapi jamaaWatu wanalewa
Wengine nusu uchi
Dj anapoga nyimbo za dini sio sawa
Imagine sehemu Kama kidimbwi zinapigwa nyimbo za dini duh!!
Halafu leo ijumaa inachomwa kitimoto sio poa
Kwa hiyo niache kuchoma kiti moto kisa imani ya mwingine?Kupiga nyimbo za dini kwenye baa, disko au sehemu za anasa kama kidimbwi ni kukosa heshima kwa mambo ya kiroho.
π Nyimbo za ibada ni za kumtukuza Mungu, si za kuburudisha watu waliopigwa pombe au walio nusu uchi.
Vivyo hivyo, kuchoma kitimoto Ijumaa mbele ya waumini ni kukosa utu na staha ya imani za wengine.
π’ Hitimisho: Kila jambo lina mahali pake. Heshima kwa dini, watu, na mazingira ni msingi wa maadili ya jamii.
Kama uko kwenye mazingira ya watu wa imani inayokataza, usiweke hadharani au usiwachochee kwa makusudi.Kwa hiyo niache kuchoma kiti moto kisa imani ya mwingine?