Hili la Kenya, UDOM mna la kujifunza

Hili la Kenya, UDOM mna la kujifunza

Huyu jamaa amefikaje chuo kikuu kwa lugha chafuzi kama hiyo! Kama umetumwa wambie udom hakuna hawawezi... Kiukweli utanzania wako una mashaka

hapo ulikuwa unataka kumaanisha nini? au ulitaka kuwatumia msg wala ugoro wenzako kwa bahati mbaya ikaingia humu?
 
Kama inavyo fahamika Afrika mashariki UDOM ndio chuo kikubwa. Lakini nina mashaka na ulizi wa hiki chuo, kuna get kubwa moja tu ambalo unapo ingia hukaguliwi ila unapo toka ndio unakaguliwa, hii ina maana kwamba ulizi uliopo ni kwa ajili ya kuzuia uwizi tu na ndio maana wanakagua unapo toka tu na kuzuia uvamizi wa ugaidi haupo maana wanapo ingia hawakaguliwi afu kuna vichochoro vingi vya kuingia hapo chuoni bila ulizi. Wito wangu kwa Serikali liangalieni hili kwa umakini sana.

Ndio utakuwa mwisho wa CCM mkuu...!
 
Miaka mitatu UDOM unataka niamini kwa lugha hiyo, halafu unafikiri tumelala hatujui who's who. Tuko imara na hatuna uadui.

Kwahiyo mtu asiyejua Kiswahili vizuri hawezi kutoa tahadhari kwa Serikali kuhusu Ugaidi?!
Unajuaje huyo jamaa kuwa ni mtanzania wa kuzaliwa Tanzania au ni Mtanzania wa kuhamia?

Angeandikwa kwa Kiingwereza pia ungepiga kelele.Oooh andika Kiswahili.
 
Kwakweli hali inatisha,hili suala si la kufanyia masihara hata kidogo.Kenya na Tz ni pua na mdomo, ni kheri Ulinzi uimarishwe.Inatisha jaman!

Sifikiri kama Alshabab wana uadui wowote na Tanzania,

kinachowafanya hawa Al shababu kuipiga Kenya ni kwa vile Kenya walipuuzia agizo la Al shababu la kuwataka waondoe Jeshi lao nchini Somalia na waache kuingilia mambo ya ndani ya Somalia.
 
Lakini ni vyema tahadhari zikachukuliwa kwa usalama zaidi.
 
Kwahiyo mtu asiyejua Kiswahili vizuri hawezi kutoa tahadhari kwa Serikali kuhusu Ugaidi?!
Unajuaje huyo jamaa kuwa ni mtanzania wa kuzaliwa Tanzania au ni Mtanzania wa kuhamia?

Angeandikwa kwa Kiingwereza pia ungepiga kelele.Oooh andika Kiswahili.

Nimekuelewa vizuri
 
Kama inavyo fahamika Afrika mashariki UDOM ndio chuo kikubwa. Lakini nina mashaka na ulizi wa hiki chuo, kuna get kubwa moja tu ambalo unapo ingia hukaguliwi ila unapo toka ndio unakaguliwa, hii ina maana kwamba ulizi uliopo ni kwa ajili ya kuzuia uwizi tu na ndio maana wanakagua unapo toka tu na kuzuia uvamizi wa ugaidi haupo maana wanapo ingia hawakaguliwi afu kuna vichochoro vingi vya kuingia hapo chuoni bila ulizi. Wito wangu kwa Serikali liangalieni hili kwa umakini sana.

Issue ni watu wa dini moja tu ndo wanapaswa kujilinda na kujihami. Magaidi wa kisasa wanawabagua, masharti na vigezo kuzingatiwa
 
Wewe kwa uelewa wako Magaidi ni watu wa aina gani? Unaniambiaje Wapalestina wanao uwawa na kubomolewa Majumba yao na wavamizi wa Ardhi zao?
Unaniambiaje Wa Afghanistani,Iraq na wengine wanaouwawa kwa interest ya mataifa makubwa? Huo sio ugaidi?

Nafikiri ifike wakati na tujiulize nini chanzo cha haya makundi ya kigaidi? Root cause ya hivi vikundi ni nini hasa? Nani ameitengeneza Alqaida? Nani ameitengeneza na kui fund ISIS?
 
Back
Top Bottom