Tky
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 439
- 140
Kama inavyo fahamika Afrika mashariki UDOM ndio chuo kikubwa. Lakini nina mashaka na ulizi wa hiki chuo, kuna get kubwa moja tu ambalo unapo ingia hukaguliwi ila unapo toka ndio unakaguliwa, hii ina maana kwamba ulizi uliopo ni kwa ajili ya kuzuia uwizi tu na ndio maana wanakagua unapo toka tu na kuzuia uvamizi wa ugaidi haupo maana wanapo ingia hawakaguliwi afu kuna vichochoro vingi vya kuingia hapo chuoni bila ulizi. Wito wangu kwa Serikali liangalieni hili kwa umakini sana.