Hili la Ikulu linanitisha, sitaki kuamini!

Hili la Ikulu linanitisha, sitaki kuamini!

Ukiona siri imevuja basi ujue haina maslahi kwa MVUJISHAJI..!
 
Mkuu Yericko ni kweli, na hii haijaanza leo, unakumbuka hukumu ya Lema, watu walianza kunywa na kushangilia Lema kufukuzwa ubunge jana yake kabla ya hukumu haijatoka, na wavujishaji walisema kabisa habari kutoka ikulu!
ushujaa lema ni wa kushangaza sana ! amehujumiwa karibu na kila kiongozi wa nchi hii lakini ameshinda , hakika ukianza na Mungu utamaliza na Mungu .
 
Umesoma vizuri Mkuu!! Kasema KCMC naona ume skip kaka

He edited the post after we reminded him, check time ya post yangu na time ya edit yake... it is unfortunate kwamba siku-quote his entire post, ntakua nafanya hivyo
 
Back
Top Bottom