Hili la Ikulu linanitisha, sitaki kuamini!

Hili la Ikulu linanitisha, sitaki kuamini!

Mzee umesoma alicho andika???

sikiliza wewe, angalia posts timing ya zote, aliandika Bugando, then we corrected him (check his editing time and my post), halafu ujue nasema nini.. He edited his post almost 5 hours kupita

I didnt quote the whole long post for a purpose, next time I will

yericko ana shida ya kukurupuka
 
Vetting siku hizi ni za kujuana, kindugu na za kidini sana so usitegemee kumpata mtu sahii sana.
 
Yaani Bavicha empty kabis vichwani ndio uandikaji gani huu? Unaandika huna hakika, unaandika kwa hisia zaidi.

Sasa huo uhoro wako umemuandikia nani.....We shukuru umepata elimu/uelewa kuhusu jambo ambalo ulikuwa hujui....KAZI YAKO NI KUTETEA UHUNI UNAOFANYWA NA TAASISI NYETI KM YA IKULU
 
Mtumishi aliyefukuzwa alikua KCMC na sio Bugando mkuu... check taarifa zako

Hapo umerekebisha nn mzee??hata mtoa mada kasema kcmc the same thing to you!!!cjui umekosoa nn???watanzaniaa ni wavivu wa kusoma.
 
Jitahidini kuhamisha hoja.
Laki swali la msingi litabaki pale pale, ni kwanini siri zinavuja kutoka ikulu???
 
Vetting siku hizi ni za kujuana, kindugu na za kidini sana so usitegemee kumpata mtu sahii sana.

System imeparanganyika,chombo nyet kimekua cha wapiga madili,nikikumbuka walivyotuacha katika mazingra tata baada ya kutupotezea muda miaka saba iliyopita,i really hate hiki chombo kinachojita secret service wanatumia dhana hii kufanya upendeleo kurecruit kwa kisingizio tajwa!!!moja ya taasis zinazotakiwa kufanyiwa mabadiliko makubwa
 
Siyo hivyo tu mkuu Yericko Nyerere pia mfyeka majani wa ikulu aliwahi kutoa kibali cha uwindaji kwa kampuni fulani,na muhuri sijui aliupataje?
 
Last edited by a moderator:
Mkwa taarifa ni kwamba Gurumo is no longer a chief protocal officer in the state house. Alisharudishwa kwa mwajiri wake,ni sawa na mkurugenzi wa bandari aliporusishwa kwa mwajiri wake maana yake sio mkurugenzi tena.

Aisee! Hivi ni ya kweli haya Mkuu? Imepita kimya kimya nini?
 
Hivi Mhumba,mwenyekiti wa Tughe KCMC si alitumia mobile numba ya mkuu?
Labda rais mwenyewe amewatonya KCMC,huwezi jua.
 
Watumishi wa serikali na chama tawala hivyo ni vitu viwili.
 
Sasa huo uhoro wako umemuandikia nani.....We shukuru umepata elimu/uelewa kuhusu jambo ambalo ulikuwa hujui....KAZI YAKO NI KUTETEA UHUNI UNAOFANYWA NA TAASISI NYETI KM YA IKULU

Elimu gani zaidi ya ujinga alioandika.
 
Back
Top Bottom