Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,152
- 10,683
Mkuu wa walinzi ni Mashiba siyo Mashaba
yes , that was another mistake he made
Mkuu wa walinzi ni Mashiba siyo Mashaba
huu ni mwaka ambayo watanzania wanatakiwa kuwa makini sana na kila kinachosemwa na kuandikwa lakini wasitegemee raisi bora na mwadilifu kutoka ndani ya ccm tena kwani hakuna aliye msafi kwa sasa.
VOTE FOR UKAWA.
huu ni mwaka ambayo watanzania wanatakiwa kuwa makini sana na kila kinachosemwa na kuandikwa lakini wasitegemee raisi bora na mwadilifu kutoka ndani ya ccm tena kwani hakuna aliye msafi kwa sasa.
VOTE FOR UKAWA.
Si CHADEMA inasema ina watoa siri ndani ya serikali, labda ipo pia kwenye Taasisi ya Urais
Si CHADEMA inasema ina watoa siri ndani ya serikali, labda ipo pia kwenye Taasisi ya Urais
Mtumishi aliyefukuzwa alikua KCMC na sio Bugando mkuu... check taarifa zako
Wewe na unazidisha ujinga unafundishwa afu unajifanya kufundisha...!!
Umecopy vibaya,rekebisha hapo huyo mtumishi alikuwa mhasibu wa kcmc,ndio tatizo la kuongozwa na div 0
Si ya kweli haya kaka. Ni habari za magazetini tu! Bingwa wa kukanusha.
Lakini ujumbe bila shaka utakuwa umefika na ndio maana hapa katika mada hii baadhi wamemkosoa mleta mada kuhusu majina na Hospitali husika pamoja na kazia yake.
hivyo ina maana kuwa IKULU yetu imeoza na ukiona hivi yamaanisha kuna UDHAIFU na ULEGELEGE mkubwa ndani ya taasisi hii nyeti.
Waswahili wanasema "SAMAKI HUANZA KUOZA TOKA KICHWANI NA MWISHO ANAMALIZIA MKIANI"
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Wanajitahidi kupindisha ukweli
1. Mkuu kubali kukosolewa sababu ni sehemu ya maisha ya mtu yeyote mwerevu. . . . .hupungukiwi kitu chochote kurekebisha ulipokoselewa. . . .
2. Ukweli huwa haupindi kama tu unajisimamia. . . .
Nani anavujisha siri za ikulu?
1. Una uhakika kuwa "zinavuja" ???????
2. Ukigundua kuwa baadhi ya taarifa zinaachiwa ili ku -control certain variables utasemaje!!!??????
Hahaaa dhahania za kitoto sana