Hili la Godbless Lema ni la kuiga, kubeza au kuunga mkono?

siasa hizi huwa hazikawii kuchuja na wale unao waongoza kukuchoka, kitendo alichofanya lema cha kugomea dhamana ni mchezo wa kitoto wa kisiasa ambao waliupanga yeye na mwenyekiti wake, haingii akilini hata siku moja, Lema agome halafu haijapita hata mwezi mmoja mwenyekiti anaenda kumsihi ati atoke ili aweze kuhudhuria vikao vya bunge, JE? kwani hakuwa anajua kuwa tarehe ya kuanza kwa bunge? dhamira halisi hakuwa nayo ndiyo maana hata chakula chake kilitoka nyumbani kwake! hatukusikia amegoma kula! ipo siku wale wanao mshabikia watabaki kulia na kushika vichwa, wakumbuke aliyekuwa MB Dkt Walid kabouru amewaacha vijana wengi wa kigoma mjini wakiwa viwete kutokana na ushabiki kama huu, Matokeo yake yupo CCM leo anakula kuku, Vijana tusitumike kama ngazi ya watu kufikia malengo yao, tuwe makini.
unatiiiiwa wewe, Lema kesha onyesha kuwa haogopi hayo magereza ambayo nyie magamba mna mtisha nayo, sasa we m-s-e-n g e e mnachukia baada ya kugundua unajaza maji kwenye gunia!
Badoooo!
 
siasa hizi huwa hazikawii kuchuja na wale unao waongoza kukuchoka, kitendo alichofanya lema cha kugomea dhamana ni mchezo wa kitoto wa kisiasa ambao waliupanga yeye na mwenyekiti wake, haingii akilini hata siku moja, Lema agome halafu haijapita hata mwezi mmoja mwenyekiti anaenda kumsihi ati atoke ili aweze kuhudhuria vikao vya bunge, JE? kwani hakuwa anajua kuwa tarehe ya kuanza kwa bunge? dhamira halisi hakuwa nayo ndiyo maana hata chakula chake kilitoka nyumbani kwake! hatukusikia amegoma kula! ipo siku wale wanao mshabikia watabaki kulia na kushika vichwa, wakumbuke aliyekuwa MB Dkt Walid kabouru amewaacha vijana wengi wa kigoma mjini wakiwa viwete kutokana na ushabiki kama huu, Matokeo yake yupo CCM leo anakula kuku, Vijana tusitumike kama ngazi ya watu kufikia malengo yao, tuwe makini.

Usipende kuishi kwa kufuata historia kila wakati. Kaborou na Lema ni watu wawili tofauti. Tatizo Watanzania tunapenda kuishi kwa kuangalia yaliypita bila kuangalia nyakati. Ni sawa sawa na wanoesema Chadema na Dk. Slaa hawatafika mbali kwa kulinganisha na NCCR na MREMA WA 1995. Sio kila wakati historia ina work
 
Kama huna point ka kimya kuliko kuchangia ushuzi! Kila mtu ana fikra zake na msimamo,kitu ambacho ni muhimu ktk maisha! Nakubaliana na uamuz wa Mh Lema kwan ameonesha njia. Huwez kufananisha chadema ya sasa na ile ya akina Kaburu. Nahurumia wanaolipwa na Nape kuichafua Chadema kwan akifukuzwa NEC mtakufa njaa!
 
ni mawazo yako tuuuuuu yamekutuma, au umetumwa?malipo kiasi gani?au unamachungu lema kuwa mbunge au chadema?
 
NDugu MKIGOMA, kweli wewe watoka Kigoma na umejua vema dr Warid alivyowatumia vijana. Hebu tufafanulie kugoma kwake dhamana kunawatumiaje vijana?
, Vijana tusitumike kama ngazi ya watu kufikia malengo yao, tuwe makini.
 
Ndio maana mimi mara nyingi nikiwa Arusha lazima nitembee na silaha yangu kiunoni..

wewe ndiyo mjinga kweli silaha ya kuweka kiuno ndiyo unaona issue, hapa arusha zitu hivyo vya kawaida sana, ukituzingua tuna kukurupusha na ki-rage chako
 
mwanaharati anaeipinga serikali
wakati anachukua posho na shangingi juu
Nina mashaka na capacity yako ya kuanalyze mambo. Hivi kwa akili yako unadhani lengo la kukataa posho lilikuwa nini? na je kuiacha posho peke yako au CDM pekeyao lengo hilo lingefanikiwa au ndo zingeliwa kama pesa zisizo na mwenyewe?
 
Makelele yote ya Ngongo mnafiki na mfitini,Ritz,FF, na makuwadi wao mwisho wake kesho wakati shujaa wa wananchi mheshimiwa Lema atakapo hutubia umati wa kutisha hapo Arusha huku mapolisi wakiwa wameshikilia ............zao kwa aibu. Niko mbali sana na Arusha natamani ningekuwa na mabawa kama ndege niruke nikashuhudie ushindi wa kamanda shujaa Lema.
 
The main purpose was to raise awareness to the general public and the world at large about unfair treatment of our police officers againt innocent people of this country! Kama wanavyosema vijana wa mjini "message delivered" Kama hayajakukuta basi yupo wa mbali au karibu nawe yameshamkuta.
Hakika...............
 
hatuwezi kuunga mkono u-p-u-u-z-i wa mtu kama huyu kama kashindwa kuiongoza arusha yetu arudi kwao machame akawaongoze wachaga wenzie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom