HILI LA BASHITE LINA UKWELI NDANI YAKE

kabila01

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
4,235
4,961
Amani iwe kwenu wadau

Leo nimefuatilia hotuba ya JPM, kaanza kwa kujibu hoja zinazoenea kwenye mitandao hasa JF. Hoja ya kwanza ni kua Mwakyembe asingetokea kwenye kuapishwa na hoja ya pili Kinana kuongea na waandishi wa habari. Kazipangua hoja hizo na kusema mitandao ya hovyo inazusha uwongo. Maajabu ni kua hili la Mkuu wa mkoa wa Dar kutumia vyeti vya kugushi kalimezea kimya ilihali limevuma kwa zaidi ya mwezi sasa humu. Hapo sasa ndo nimeamini Bashite anatumia vyeti visivyo vyake hata Mkulu analitambua.
 
Hana cheti Mkuu..
Alipata zero form 4..
Na zero hupati cheti.
Ndio maana kaiba cheti cha mtu na jina analotumia ndio la mwenye cheti.
 
Bashite alifeli st four na standard 7 akasoma taasisi historia imeandikwa hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom