Hili kanisa jamani mnsasemaje?

Hili kanisa jamani mnsasemaje?

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
14,395
Reaction score
13,273
12299318_1513064739021366_6282387331883050059_n.jpg


Naona ni wanaume tu ndio wanaoingia wanawake siwaoni!
 
...la akina mshanajr hahahaaa ...its a joke lol...!!!
 
Last edited by a moderator:
Mbona ni kama wanaingia kwenye K?
Ndiyo K = Kanisa! Au ulimaanisha neno lenye herufi kei, yu, emu, ei? Halafu mi nimeshangaa naona wanaingia wanaume tu humo
 
Nawaona wenye vibagarashia na wasio navyo. Na hilo umbo la kanisa sasa kwa mbele ni sheeeeeeeeeeeeeda. Wanaingia walipotokea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom