Hili kabila litanikosesha mke

myself scenario

JF-Expert Member
Jul 5, 2015
347
213
Salaam..

Baada ya maswahibu mengi yaliyo nikuta kwenye mahusiano(wanao fuatilia nyuzi zangu wanafamu); Nimepata mpenzi mpya ambae kusema ukweli yuko tofauti na waliopita, yani anafaa kabisa kuwa wife.

Tatizo linakuja kwenye kabila lake..ni kabila linalo sifika kwa kuchepuka na hata home huwa nasikia ndugu wakipiga story za kabila hilo huku wakiliponda sana.. Sasa leo najiuliza itakuaje nikiwapelekea mchumba kutoka kabila hilo.. Nahisi vizuizi vitaanza au hata wasipo weka vizuizi basi watakua wana ning'ong'a sana..

NB: Sijalitaja kabila kuepusha mpasuko humu.. Mimi ni msukuma OG kabisa.
 
Unataka kuoa Mhaya? Oa tu usiogope. Nina braza kaoa Mhaya na wana 20+ years bila matatizo yo yote na binti wa watu ana tabia nzuri ajabu na ndiye amegeuka kuwa kipenzi cha mama yetu.

Epuka kufanya generalizations za kitoto eti kabila zima. Mwangalie mtu kama mtu mwenye wasifu na mitazamo yake unique. Mf. Wasukuma tunakuwa generalized kuwa ni washamba. Wewe pia ni mshamba? Kama siyo mshamba why wakati nawe ni Msukuma?
 
Very sense..
 
Salaam..

Baada ya maswahibu mengi yaliyo nikuta kwenye mahusiano(wanao fuatilia nyuzi zangu wanafamu); Nimepata mpenzi mpya ambae kusema ukweli yuko tofauti na waliopita, yani anafaa kabisa kuwa wife.

Tatizo linakuja kwenye kabila lake..ni kabila linalo sifika kwa kuchepuka na hata home huwa nasikia ndugu wakipiga story za kabila hilo huku wakiliponda sana.. Sasa leo najiuliza itakuaje nikiwapelekea mchumba kutoka kabila hilo.. Nahisi vizuizi vitaanza au hata wasipo weka vizuizi basi watakua wana ning'ong'a sana..

NB: Sijalitaja kabila kuepusha mpasuko humu.. Mimi ni msukuma OG kabisa.

Mbona hata Kabila lako mwenyewe la Kisukuma ni full " matatizo? " Mmeacha ile tabia yenu ya kula kula hovyo pindi muwapo safarini? Ubungo asubuhi mnanunua miwa mnaanza kututafunia ndani ya basi, tukifika mizani mnatafuta mayai ya kuchemsha ili mtujambie vizuri mbele ya safari na hakika huwa tunawakoma, tukifika chalinze lazima mnunue mahindi ya kuchemsha, Msamvu Morogoro mnatafuta mihogo ya kuchemsha, Gairo lazima mnunue viazi vya kuchemsha pale, Dodoma huwa mnatugandisha mno kwani wengi wenu hukimbilia vyooni " kufyatua " mlivyovifakamia katika vituo tulivyovipita, maeneo ya Shelui mtanunua Chips yai na kuku za kuletewa dirishani ambazo hata hivyo nyingi huwapeni sana usumbufu wa matumbo na tukiwa tunataka kuliacha pori la maeneo hayo huwa mnamsimamisha dereva huku mnakimbilia maporini kujisaidia, Singida lazima tu mtaulizia Ugali na wengi wenu ili msichelewe katika basi huwa mnabeba kabisa huo Ugali na mkipanda nao ndani ya basi huwa mnatupa " show " ya bure hasa kwa jinsi mnavyochota na kuutafuna huo Ugali kwani huwa mnatumia sana nguvu utadhani mnaua nyoka, Shinyanga na penyewe mtatafuta vitumbua na hadi tunafika Mwanza pale Kituoni hakika matumbo yenu Wasukuma huwa yanakuwa yamechafuka mno.
 
Hahaha dah! Nimecheka kinoma, imebidi walio jirani watake kujua kilichonivunja mbavu. Too bad hawaelewi kilichoandikwa, na nikitafsiri inapoteza ladha kabisa.
 
Mbona hata Kabila lako mwenyewe la Kisukuma ni full " matatizo? " Mmeacha ile tabia yenu ya kula kula hovyo pindi muwapo safarini? Ubungo asubuhi mnanunua miwa mnaanza kututafunia ndani ya basi, tukifika mizani mnatafuta mayai ya kuchemsha ili mtujambie vizuri mbele ya safari na hakika huwa tunawakoma, tukifika chalinze lazima mnunue mahindi ya kuchemsha, Msamvu Morogoro mnatafuta mihogo ya kuchemsha, Gairo lazima mnunue viazi vya kuchemsha pale, Dodoma huwa mnatugandisha mno kwani wengi wenu hukimbilia vyooni " kufyatua " mlivyovifakamia katika vituo tulivyovipita, maeneo ya Shelui mtanunua Chips yai na kuku za kuletewa dirishani ambazo hata hivyo nyingi huwapeni sana usumbufu wa matumbo na tukiwa tunataka kuliacha pori la maeneo hayo huwa mnamsimamisha dereva huku mnakimbilia maporini kujisaidia, Singida lazima tu mtaulizia Ugali na wengi wenu ili msichelewe katika basi huwa mnabeba kabisa huo Ugali na mkipanda nao ndani ya basi huwa mnatupa " show " ya bure hasa kwa jinsi mnavyochota na kuutafuna huo Ugali kwani huwa mnatumia sana nguvu utadhani mnaua nyoka, Shinyanga na penyewe mtatafuta vitumbua na hadi tunafika Mwanza pale Kituoni hakika matumbo yenu Wasukuma huwa yanakuwa yamechafuka mno.
Dah..mkuu umetuchana hadi noma pole pole asee hahaha
 
uwiiiii nimecheka hatareee...hurumia mbavu zangu....mi msukuma ila wengi nduguzangu hata wa town kabisa wako hvyo hvyooo! ha ha ha ha
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom