Hili Jicho limepotelea wapi?

Kuna siku nilienda kwa rafiki yangu kumtembelea ,ile mtoto wake kuniona tu akaanza kunizomea "huyooo umekuja kwetu kudoea" nikiangalia kweli nilikuwa na njaa na msosi ndio unaandaliwa

Mama ake anacheka cheka nakusema yaani huyu G anapenda kweli kuwaambia wageni, nikabaki mtu mzima nimezodoka kuondoka nataka lakini nashindwa ila nilikula ivo ivo

Hawa wamama wa siku izi hamna kitu na hawajui malezi kabisa
 
.
Screenshot_20191209_184748_com.instagram.android.jpeg
 
Wakati nakua wamama walokuwa wanywaji walikuwa jioni tukikaa vibarazani utawaona na chupa zao za chai kumbe ndani wanapiga mambo na sie wala hatujui wala hatuombi kupewa chai,wamama wenzangu sasa akitoka kazini anapita kibaa cha jirani alewe au apite kwa mashoga zake au Saloon huku mtoto kaachiwa dada na mijikazi kama zote,ndugu yangu unauliza lile jicho fulani wakati la kawaida tu mtoto halijui
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom