Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Jicho analo mdada wa kazi ndugu
Wazazi wenyewe macho yao yapo shilawadu yanaangalia ubuyu
Huyo mdada wa kazi nae ukishamuoa jicho litapotea maana naye atakuwa busy kujiremba, kuchat na kuangalia tvNilichojifunza hapa ni kuwa kwa sasa mke bora kabisa wa kuoa ni msichana wa kazi. Huyu ukimpata utakua umepata lulu maana anajua kuamka asubuhi na mapema, anajua kuandaa watoto, anajua kusafisha nyumba, anajua kufua, anajua kulisha mtoto, kupika, kuosha vyombo na kazi zote za ndani.
Huyo mdada wa kazi nae ukishamuoa jicho litapotea maana naye atakuwa busy kujiremba, kuchat na kuangalia tv
🤣🤣🤣 wewe sasa unawatisha watoto.Kwangu mtoto akiangalia mustach tu hawezi kuleta matata!
Hapo bado macho kufanya yake.