Hili jibu hakulistahili huyu mdada au nilikosea wapi...?

Hili jibu hakulistahili huyu mdada au nilikosea wapi...?

Kusema kweli wanawake badilikeni bhana kuomba hela sio shida Wala tatizo

Tatizo gear mnazotumia ni za kishamba sana unaomba hela siku 2 tu baada ya kuombwa namba ,huu ni ushamba .

Halafu sasa unaomba hela kwa sababu za kipuuzi za kijinga jinga eti naomba hela nikapake rangi kucha,sijui saluni,sijui mchango wa harusi etc

Omba hela kwa matatizo yanayo make sense

Halafu unapaswa kuvuta subira kabla hujaanza kuwa ombaomba
Ya baadhi ya wasichana waki Tanzania wajinga kwel,ndiyo mahana wageni kutoka mataifa ya nnje ya Tanzania wakija uku wanashangaa wanawake wanawapata kwa bei ya kutupwa.
 
siku mbili huyo hakuwa interested na wewe kuna mtu namfahamu hajawahi kunyima namba yake ila kuifuta mtu akimtumia message 'mambo'yeye anamjibu naomba hela
 
Watakula vizuri na matunzo watapata kwa sababu hii moja .
Ukiwa mchungu kwa watu ambao hawana future na wewe ukiwapa mgongo utawekeza nakufanya biashara na vitu vya maendeleo yule mwenye malengo na wewe akija hata kosa mambo ya msingi.
Usipende mwanamke au mwanaume akufanye benki na mwisho wake akaolewa au kuoa kwingine maisha mazuri nikuwanyima wale ambao sio muhimu katika maisha haya.
KATOTO KAZURI ngoja nikwambie

Lakini huyu si kasema anataka mke na watoto kwa hiyo yupo kwenye mchakato wa kumtafuta Sasa Kuna shida gani kumpa pesa huyo future wife Tena kasema mwenyewe ni mwanafunzi na kaomba pesa ya stationary...mm nadhani labda angekuwa tayari Ana mke halafu huyu ni demu tu kakutana nae basi ningeelewa hiyo hoja...

Mwanamke kuhudumiwa ni kawaida Sana,huku sijui kutaka usawa na mwanamke au kukimbia baadhi ya majukumu kisa mwanamke anaweza kujitafutia ni kujitakia matatizo siku za mbeleni.mimi nadhani angempa hiyo pesa ambayo sidhani Kama ingezid 50k halafu unampa vipaumbele vyako taratibu...Kama ni mke utamuona tu anajaa kwenye malengo yako Sasa ukikimbia mapema halafu unataka mke utapata mwanamke gani dunia ya Leo!!?unaweza kukuta hata huyo dada alikuwa anampima Jamaa Kama anaweza kuwa na msaada kwake.
 
Wewe ndiyo umemanisha ulichoelewa ila sikumanisha natafuta kila groups, by the way kila group kwa simu yangu lina na uzito wake ingawa ni si zaidi ya matano.
Mfano wako hauendani. Vijana mnafail mbinu za kutafuta mke. Tafuta marafiki kwenye groups na sio mke. Kati yao marafiki ndo inaweza tokea ukapata mke. Ila kuweka akili kuwa sasa naingia kwenye groups kutafuta mke lazima ubugi big time
 
Jigambe kwakula hulipii, but note uzuri wa mtu/kitu upo machoni mwa mtazamaji..!

Nitafute unione afu ndiyo, ujaribu kunilinganjsha na huyo zilipendwa, ama umeelewa thread kana kwamba sina pesa ndiyo maana nilimjibu vile..? Pesa iko nyingi ila si kwaajili ya kudangia.
Inapendwa na mwanaume ambae wewe humfikii hata robo pesa,muonekano,heshima [emoji23][emoji3410]
 
Nchi imejaa matanga, wanajirahisi mno..
Ya baadhi ya wasichana waki Tanzania wajinga kwel,ndiyo mahana wageni kutoka mataifa ya nnje ya Tanzania wakija uku wanashangaa wanawake wanawapata kwa bei ya kutupwa.
 
Kuna namna ya kutoa pesa siyo kindezindezi mjomba..! Demu wa kuniletea mazoea ya ghafla lazima atafail tu.

Back
Top Bottom