Hili jibu hakulistahili huyu mdada au nilikosea wapi...?

Hili jibu hakulistahili huyu mdada au nilikosea wapi...?

Yuko mwngbe huko nmechukua namba bila hata kujuana ananambia kadakwa sup af hana hela ya kulipia,nlimshangaa sanaaa,yaab cku mbili tu ushanza ku expose shida zako kwangu kwl kutakua na upendo wa kwel hapo?kina dada badiliken bhna,som tims mnaboa
 
Labda hakujua kua unataka kumuoa alijua unataka papuchi tu nakusepa.
Nikili kuwa muda kuoa umefika maana si kwa hamu hii ya kutaka mke na mtoto aisei..!

Sasa kama kawaida yangu huwa nina mzio na wanadada/wanawake vilaza na wavivu wapenda mtelezo/slope...!

Sasa katika harakati za kusaka ubavu wangu juzi kati nikasema ngoja nipitie whatsapp groups kwa simu yangu nione kama naweza pata mremboo kiukweli huwa sihifadhi magroup yasiyo na warembo nikiungwa najileftisha faster STAKAGI Ujinga kupiga story na midume mie.

MKASA:

Katika pitapita zangu nikazama group moja la Afya nikakutana uso kwa uso na mremboo wa KINYATURU anaitwa Irene anasoma pharmacy chuo kimoja dodoma kisu haswa kijana sikulaza DAMU faster nikaza PM ila whatsapp mara akaja hewani.

Siku ya kwanza ikapita, Siku ya pili mara akanitangazia SHIDA OOHH... Mara hapa nina kazi za Stationary nimepungukiwa pesa naomba uniazime nitakurudishia... [emoji849][emoji849][emoji849]

Bigmind nikakumbuka jina langu la hapa JF, nikagundua kwa siku ya pili nimedejezwa kila wakati baby umekula mara umeishatoka job... Haaahh...!

JIBU ALILOPEWA KUOMBA PESA BILA KUIFANYIA KAZI NI HILI..

" Hivi wewe ni yatima na mara hii umenigeuza kabodi kako ka mikopo".

Demu katokwa povu la Tessa ooh... umenidharirisha nikamwambia kosa liko wapi mimi baba yako.

Wadada acha ushamba kuomba pesa mtu ata usiyemwelewa vyema..! Shida zipo ila tafuta namna bora ya kutuchuna si kishamba hivi.
[/QUOTE
 
Ambao tuna kazi na mishahara minono mnatuogopa endelea kuhangaika hivyo hivyo kwa hao unaowaita yatima
ha ha ha ha we nouma san ila nyie wenye mishahara minono hamtutaki tunaokula msoto mtaan sasa ivi so viceversa is.........................
 
Kuna namna ya kutongoza, si kwa style yako, km mm ningemmwagia hela ya kufungua stationary, watu wanawajengea nyumba na vibaby walker wakati mashine ni ileile haina meno
Karibu Dodoma mabint wa vyuo vya Afya tupo nao (DECA, Mvumi, St John nk)
Akwende zake huko..
 
Yuko mwngbe huko nmechukua namba bila hata kujuana ananambia kadakwa sup af hana hela ya kulipia,nlimshangaa sanaaa,yaab cku mbili tu ushanza ku expose shida zako kwangu kwl kutakua na upendo wa kwel hapo?kina dada badiliken bhna,som tims mnaboa
Wanaudhi hatari aisei..
 
Kusema kweli wanawake badilikeni bhana kuomba hela sio shida Wala tatizo

Tatizo gear mnazotumia ni za kishamba sana unaomba hela siku 2 tu baada ya kuombwa namba ,huu ni ushamba .

Halafu sasa unaomba hela kwa sababu za kipuuzi za kijinga jinga eti naomba hela nikapake rangi kucha,sijui saluni,sijui mchango wa harusi etc

Omba hela kwa matatizo yanayo make sense

Halafu unapaswa kuvuta subira kabla hujaanza kuwa ombaomba
 
Omba omba? Unamanisha nn?🤔
 
Hahahaha tapeli huyo kuwa makini

Back
Top Bottom