Wameuana huko wenzenuWamevaa dera.
Huenda ni kweli ila ipo 50 kwa 50 siiamini 100.Wameuana huko wenzenu
Kamsikilize dada kaongea
Hatari tupu
Kwa anaeingia live za tiktok za yule kaka juzi aliongea hii kitu kywa huko ndani hali sio akasema mtajionea wenyewe kuelekea tar 9Huenda ni kweli ila ipo 50 kwa 50 siiamini 100.
Hata yale makombati yao ni kama vijora tuHamna Jeshi hapo ni takataka tu
Vita ya matifali umewahi kuiona wapi dunia hii kama siyo ujinga tu?Wanatuhadaa kwa kupasua matofali wakati wa sherehe zao kumbe hamna kitu!
Hadi wanaona haya huku mtaaniHata yale makombati yao ni kama vijora tu
Zilikuwa na risasi lakini walizuiwa kupiga.Alafu mibunduki ya hao JWTZ nasikia haikuwekwa Risasi yoyote huyo mkuu wao ndo aliwauza