.......
nakumbuka safari ya rwanda.......
nakumbuka safari ya rwanda
tulilazimishwa kukanyaga maiti
zilizooza na kutoa harufu kali
tulikuwa na lori
maiti zilipangwa barabarani
na jamaa kama hawa hawa
walitulazimisha,bila hivyo
hakuna kurudi rusumo''border ya tz &rwanda''
kabla ya hayo yote
tulikuwa tukiona mizaha kama hii