tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
WanaJF,
Hivi mtu unapoandika jambo usilojua ukaliandika tu kwa ushabiki huoni kuwa linakushushia hadhi? Kama kweli una nia ya kujua kwanini usiulize kilichojiri?
Nasikitishwa na hali hii ya kufanya mambo kwa ushabiki. Kikao kinachohusika ni kikao cha Kamati Tendaji mbili za wilaya ya Nyamagana na Ilemela. Mimi ndiye niliyeitisha kikao hicho. . Nimeshuhudia yaliyojiri, hakuna swala la makambi ya Mbowe na Slaa. Wala hakuna swala la wenje kutishia mtu ni taarifa iliyopikwa. Mimi nilimtoa kwenye kikao kijanaaliyesimamishwa baada ya mchakato hadi kufikia CC. Akagoma kutoka. Wala hakutishwa alitolewa na vijana.
View attachment 274085
Lazima tuwe na sheria, kanuni , kali ambazo zitaongoza , na kusimamia upigaji wa picha kati ya rais na watu wa kawaida, kama hii inamdhalilisha rais ingawa ni ujiko kwa walioomba kupiga nae picha
View attachment 274085
Lazima tuwe na sheria, kanuni , kali ambazo zitaongoza , na kusimamia upigaji wa picha kati ya rais na watu wa kawaida, kama hii inamdhalilisha rais ingawa ni ujiko kwa walioomba kupiga nae picha
Ni kweli ila kwa Kikwete yeye mwenyewe anaona ujiko na ndiyo maana viongozi wenzake wanamdharau. Msanii ni msanii tu hata awe kiongozi wa nchi.
Wewe acha ujinga urais sio kama ww unavyofikir, hivyo ndio ngaji ya juu kabisa , lazima ieshimiwe hawa wasanii ni wadogo kabisa, america wapo wasanii wakubwa na matajir kabisa uliwai kuona ujinga huo, hata kama upo utapingwa vikal sana sio kufulaishwa kama ww mbululaAcheni ushamba, Huyu sio Rais wa kundi fulani tu ni Rais wa wote. Kwenye Kampeni hamuwaiti wahuni mkishapata Madaraka mnawapa majina mabaya. Hizo selfie zingekuwa kwa yule mtu wenu mngesifia
Acha wivu wa kike
Iiiishh we nae ka-selfie tu unakaandikia thread