Hili jambo linanikera

yaan wewe! umuache mamito kisa nyama?

kwa hasira nunua nyama wiki mzima kasoro ijumaa. OVER
 
Unafikiri linahusika na siasa tu? Na burudani zipo,cha muhimu uwe makini tu ili ujue kama mada imewekwa sehemu husika
hapana najua ni la utani...
mwanzoni nilikua sijakuelewa, nimekuja kuelewa baada ya kuwa nimeshapost
 
Back
Top Bottom