Hili jambo linanigharimu sana


Wewe si ulinikatakaa mimi, ulisema hutaki kuolewa na mimi, shauri yako utakoma [emoji23]
 

Na siku ukinipa nafasi ya kula tunda nalo nitakukula mpaka upagawe uwe unanihonga hela zako zote, kama haunitaki mimi nitafutie mshangazi mwingne unilee bas
 

Ni kweli hata kwa wanaume lazima uokote liroho huko.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣bado hujasema, yaaani mpaka useme.
 
Lamomy mpokonye da Mau simu kwanza🀣
 
Jamani nani tena kamchokoza da mau wangu..??? 🀣🀣🀣
Mimi sipendi mbona mna wivu na da mau mnataka kuchafua brand why???
Da mau achana nao tulia ngoja nikuletee glass ya maji
 
Ulichelewa Sana kujua bibiee lakini pia Hongera Umejua!!Mungu akuweke Sana nadhani sasa utakuwa mwl wa wengine baadhi watakaokusikiliza Kwa makini na kuyazungatia Haswa,,Kwa maana makaidi siku zote huwaga hawakosekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…