Hili jambo limeniumiza sana

Nimekuwa pia nikijiuliza swali hili pia pengine si mama yangu lakini tokea utoto wangu yupo nami nakufanana tumefanana saaana
 
Ahsante sana ndugu yangu
 
Baraka gani za kunidhalilisha msibani kwa maneno makali kama yale! Ndio ni mzazi lakini alichokifanya si lahisi kusahau kwa harakaharaka
 
Pole sana sister msamehe ili upate miaka mingi na kheri dunian, wazaz ni wa thamani na inatupasa kuwasamehe hata ktk yale ambayo kibinaadam tunaona hayapaswi kusamehewa labda nkupe ushuhuda tu ktk maisha yangu nlitengwa na baba kwasababu nlkuwa mtoto wa nje ya ndoa bas mama akakomaa na mm akanisomesha nkafka mbali sana kielimu lkn moyon nlkuwa na kisasi na baba na nlimchukia kupita maelezo kwa yale aliyonitendea(sitayaandika hapa kuilinda heshima yake).Bas baada ya kufanikiwa sana kielimu ikafka hatua ya kutafuta kaz,hapa ndipo nlipata mitihan na mashaka kwani nlkuwa na sifa zote,cheti kizur,ujuz wa kutosha kwan nlifanya voluntary services kwa muda mrefu lkn cha kushangaza sikupata ajira mpaka nlipoamua kuonana na watu wenye macho ya kiroho(sio mshana jr lakin
joking) basi mtu huyu aliniomba nimpe historia ya maisha yangu kiufup na baada ya kumueleza had hisia zangu na mawazo yangu mabaya hjuu ya baba yangu ndipo akanipa utatuz wa tatzo langu kwa kuniambia nenda kwa baba yako kamuombe msamaha kwa kumuwekea visasi kisha na ww pia msamehe kwa yote aliyokutenda na milango ya baraka itafunguka kwako na utapata kaz, basi baada ya kufanya kama nlivyoelekezwa basi mambo yangu yakanyooka na nkapata yale nliyoyahtaj.Hapa ndipo nkafahamu kuwa wazaz wana nafas kubwa ktk maisha yetu kuanzia kiroho mpaka kimwili hvyo dada yangu achilia tu samehe na Mungu atakubark
 
Upo sahihi
 
Nitafanya hivyo
 
Amina nitafanya hivyo shukrani
 
Ahsante sana kwa ushauri mzuri
 
Amina ndugu yangu
 
Nitazingatia ushauri wako shukrani
 
Thank you nitafanya hivyo
 
Pole sana yaache yapite kama mengine acha kufikiria jaribu kufikiria mazuri alio wahi kukutendea hata kama lipo moja tu msamehe songa mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…