Hili halikubaliki hata KIDOGO

Hili halikubaliki hata KIDOGO

Nina mashaka kama umeenda shule wewe maana hata kujenga hoja umeshindwa. A a a a a a a a kumbe kilazaaaaaaaaa
 
Kwani hao Wapinzani siyo nchi yao??Aliyekwambia nchi ni ya CCM nani??Nenda kamwambia aliyekutuma Tanzania yetu sote

Hawa UKAWA mi naamini sio watanzania halisi, haiwezekani mtanzania halisi aende ULAYA kusuka mpango na wazungu wa kuiharibu Tanzania.
 
Hawa UKAWA mi naamini sio watanzania halisi, haiwezekani mtanzania halisi aende ULAYA kusuka mpango na wazungu wa kuiharibu Tanzania.
Hivi anayesababisha ubaguzi ni nani kama siyo hilo lichama lenu la.Majangili?? Kutwa kucha mko na Wapinzani. Wakati CCM ndiyo ya kwanza kupeleka kapu kwa hao unaowaita Ulaya.Kama.una ushahidi ulete hapa,na wewe ni mpumbavu kama.wenzio tu wanaokuja na vijibwagizo vya kipumbavu.Acheni ubaguzi
 
Nina mashaka kama umeenda shule wewe maana hata kujenga hoja umeshindwa. A a a a a a a a kumbe kilazaaaaaaaaa
KIJANA HATA HIYO SHULE SIJAENDA.......ila naamini umenielewa KABSA,,,,
 
Back
Top Bottom