Hili halikubaliki hata KIDOGO

Hili halikubaliki hata KIDOGO

Kibstec

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Posts
1,205
Reaction score
2,343
Yaani kwa sasa tunachokiona ndani ya NCHI yetu ni wapinzani kuja ni mbinu mpya ya kipuuzi kabsa ya UVUNJIFU WA SHERIA na KUHATARISHA amani ya nchi yetu MAKUSUDI KABSA ili mwisho wa SIKU wakiishia MIKONONI mwa POLISI ionekane UPINZANI wanaonewa na UTAWALA wa sasa na hii ni moja ya MBINU YAO MPYA YA KUPAMBNANA UTAWALA ULIOPO NA KUTAFUTA HURUMA YA WANANCHI NA KUCHAFUA TASWIRA YA NCHI YETU......hili halikubaliki KABSA
 
Hata hivyo nchi yako haifat sheria na katba ktk utawala wake, jtahd ushauri viongoz wako wawe neutral, watatue kero za wananchi, waache matamko na kutumia dolar kuliko kumalza kero za watu wake,

Toen uhamisho WATUMISHI umma, nyongeza mshahara, pandshen madaraja, toen AJIRA kwa vijana muache ubaguz hasa ktk kuajir, walimu sayans na sanaa wote wana haki kuajiriwa, kama sanaa hawana uhtaj mfute coz hz vyuoni, toeni elimu au mfumo kuwezesha vijana kujiajiri huko vyuoni sio kutoa tu MATAMKO yasiyosaidia kundi hili,
Pia muache kutaka kila mtu awasifu na kuunga mkono, sio wote wanapenda jins uongoz ulivo, lazma mkubali mnafanya vzr na mnabolonga pia,
 
Unatauta nafasi eeeeehhh!!! umechelewa rafiki.
Hata kujenga hoja huwezi.Wewe si ulipita madarasa yote kwa kuangalizia mitihani
 
Kweli mbaazi zikishindwa kuzaa huzingizia jua! Yaani taswira ya nchi yetu aharibu mwenyekiti wako wa chama( sizonje) halafu mzigo uwabebeshe wapinzani!

Tena umwambia sisi huku Nanjilinji tunasubiri zile Mil50 kwa kila kijiji na Laptop kwa kila mwalimu!
Huku tunaendelea kuhifadhi vichinjio vyetu [HASHTAG]#2020[/HASHTAG] hafurukuti!
 
huyu mkuu akili zake kama yule kila.za mkuu..debe kwa ng'ombe tatu..
 
Yaani kwa sasa tunachokiona ndani ya NCHI yetu ni wapinzani kuja ni mbinu mpya ya kipuuzi kabsa ya UVUNJIFU WA SHERIA na KUHATARISHA amani ya nchi yetu MAKUSUDI KABSA ili mwisho wa SIKU wakiishia MIKONONI mwa POLISI ionekane UPINZANI wanaonewa na UTAWALA wa sasa na hii ni moja ya MBINU YAO MPYA YA KUPAMBNANA UTAWALA ULIOPO NA KUTAFUTA HURUMA YA WANANCHI NA KUCHAFUA TASWIRA YA NCHI YETU......hili halikubaliki KABSA
Unasaka ukatibu tawala au ukuu wa wilaya? Nenda kwa Lipumba kawe mpambe wake kwani mnampatia pesa za walipa kodi kienyeji alafu mdai Nchi ina Amani? Nyie ndiyo mnaivunja Amani kwa matendo yenu ya ajabu ajabu.
 
Mleta Nada unajua kama Mnyika kakamatwa kwa kupeperusha Bendera ya chadema geita?
 
Yaani kwa sasa tunachokiona ndani ya NCHI yetu ni wapinzani kuja ni mbinu mpya ya kipuuzi kabsa ya UVUNJIFU WA SHERIA na KUHATARISHA amani ya nchi yetu MAKUSUDI KABSA ili mwisho wa SIKU wakiishia MIKONONI mwa POLISI ionekane UPINZANI wanaonewa na UTAWALA wa sasa na hii ni moja ya MBINU YAO MPYA YA KUPAMBNANA UTAWALA ULIOPO NA KUTAFUTA HURUMA YA WANANCHI NA KUCHAFUA TASWIRA YA NCHI YETU......hili halikubaliki KABSA
Kwani hao Wapinzani siyo nchi yao??Aliyekwambia nchi ni ya CCM nani??Nenda kamwambia aliyekutuma Tanzania yetu sote
 
Yaani kwa sasa tunachokiona ndani ya NCHI yetu ni wapinzani kuja ni mbinu mpya ya kipuuzi kabsa ya UVUNJIFU WA SHERIA na KUHATARISHA amani ya nchi yetu MAKUSUDI KABSA ili mwisho wa SIKU wakiishia MIKONONI mwa POLISI ionekane UPINZANI wanaonewa na UTAWALA wa sasa na hii ni moja ya MBINU YAO MPYA YA KUPAMBNANA UTAWALA ULIOPO NA KUTAFUTA HURUMA YA WANANCHI NA KUCHAFUA TASWIRA YA NCHI YETU......hili halikubaliki KABSA
NENO. ..HAKUNA LITAKALO MSHINDA MWENYE ENZI MUNGU. ...HII SERIKALI NI SHINA LA MBUYU HAITATIKISIKA MILELE. .
 
Lipumba kwa sasa anakula michepuko kadhaa kwa siku kwa pesa za walipa kodi,pesa ya ruzuku waligawania gheto kienyeji lakini mnaendelea kumlinda kisa Msajili nae anapata Ganji huku Madalali wa siasa wakichota pesa kimya kimya hazina kwa kisingizio cha kusaidia kudhoofisha Ukawa na lipumba kuzitumia kuua CUF.
 
Ubarikiwe rais wetu John Pombe Joseph Magufuli milele. ...Amen RA
 
Kama ndivo tusiwakamate na kuwaweka ndani ili mbinu yao ifeli . very simple kwanini ulielie mwanaume? .
 
Kweli mbaazi zikishindwa kuzaa huzingizia jua! Yaani taswira ya nchi yetu aharibu mwenyekiti wako wa chama( sizonje) halafu mzigo uwabebeshe wapinzani!

Tena umwambia sisi huku Nanjilinji tunasubiri zile Mil50 kwa kila kijiji na Laptop kwa kila mwalimu!
Huku tunaendelea kuhifadhi vichinjio vyetu [HASHTAG]#2020[/HASHTAG] hafurukuti!
Wameanza kupokea kipigo atakuwa Waziri wa Magazeti
 
Yaani kwa sasa tunachokiona ndani ya NCHI yetu ni wapinzani kuja ni mbinu mpya ya kipuuzi kabsa ya UVUNJIFU WA SHERIA na KUHATARISHA amani ya nchi yetu MAKUSUDI KABSA ili mwisho wa SIKU wakiishia MIKONONI mwa POLISI ionekane UPINZANI wanaonewa na UTAWALA wa sasa na hii ni moja ya MBINU YAO MPYA YA KUPAMBNANA UTAWALA ULIOPO NA KUTAFUTA HURUMA YA WANANCHI NA KUCHAFUA TASWIRA YA NCHI YETU......hili halikubaliki KABSA
Umetumia bangi ya wapi leo?
 
ndo umeongea nini
 
Back
Top Bottom