Hili gazeti la jambo leo linakera!

Masakata

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
374
137
Yani kuna magazeti mengine yanaudhi kweli,hata mtu unashindwa elewa kama hayo magazt yana wahariri,na kama ni watz wenzetu,kwa mf hili gazeti la jambo leo toleo la leo,front page wameandika WENGI WAUNGA MKONO TAMKO LA CC-CCM JUU YA DOWANS,.yani hii khabar imeniharibia cku yangu ya leo,kwanza wamewahoji watu wangapi,wa itikadi ipi,na elimu gani mpaka waje na conclusion nzito kama hii.. source:gazeti lenyewe nimelisoma,huwa cnunui ya aina hii!
 
Si mmoja wa wamiliki wa gazeti hilo ni mtoto wa Mwenyekiti wa ccm? Katika hali hiyo ulitegemea lisemeje!
 
Kwanini Likukere? Haujui baada ya Dowans kulipwa watapata Ruzuku na kuishi Mchangani??
 
Jambo leo huwa namnunulia mke wangu kwa ajili ya kukingia haja ya mtoto wangu mdogo. Normally, she uses it as a toilet paper and it suits the purpose nicely. I am sorry for any inconvience caused by this disclosure.
 
Benny Kisaka nadhani ndie mhariri, coz I met him sometimes in Dec na kuniambia yeye pamoja na mwenzake ndo wameanzisha hilo gazeti baada ya kujiengua business times.
 
hao ni wahariri vihiyo hawajui loote la maana.hata mtoto wa darasa la kwanza atashangazwa na upuuzi huu wa kuunga mkono malipo ya Dowans wakati hali ya uchumi ni mbaya na kila mtumia umeme atawajibika,naona bora tumfuate yule mtaalamu wa umeme wa upepo pale external atakufungia umeme wa uhakika na kwa vifaa maalumu anavotengeza mwenyewe.
 
Back
Top Bottom