Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,001 Reaction score 72,284 Feb 16, 2017 #1 Watu wanajua kutengeneza magauni ,,,halaf kama linatisha hiviii au macho yangu tu
bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,705 Feb 16, 2017 #2 Macho yako tuu.
Majestic wolf JF-Expert Member Joined Feb 10, 2015 Posts 1,248 Reaction score 1,853 Feb 16, 2017 #3 Macho yako hayadanganyi ni kweli anatisha pharaoh sio pharaoh yaan
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 28,668 Reaction score 78,160 Feb 16, 2017 #4 Ukipewa gauni hilo ukauze utakataa?
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,343 Reaction score 33,487 Feb 16, 2017 #5 Hiyo shingoni ni dhahabu ama?
Malyakishu JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,968 Reaction score 2,351 Feb 16, 2017 #6 Utaona Vanessa kaiga soon
elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,743 Feb 16, 2017 #7 Naona juu kichwani kajiwekea halo kama mtakatifu
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,001 Reaction score 72,284 Feb 16, 2017 Thread starter #8 elmagnifico said: Naona juu kichwani kajiwekea halo kama mtakatifu Click to expand... Yaan ndio maana wanasemwa kuwa ni iluminat
elmagnifico said: Naona juu kichwani kajiwekea halo kama mtakatifu Click to expand... Yaan ndio maana wanasemwa kuwa ni iluminat
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,001 Reaction score 72,284 Feb 16, 2017 Thread starter #9 Majestic wolf said: Macho yako hayadanganyi ni kweli anatisha pharaoh sio pharaoh yaan Click to expand... Yaan nikiiangalia picha naogopa lo
Majestic wolf said: Macho yako hayadanganyi ni kweli anatisha pharaoh sio pharaoh yaan Click to expand... Yaan nikiiangalia picha naogopa lo
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,001 Reaction score 72,284 Feb 16, 2017 Thread starter #10 Elungata said: Hiyo shingoni ni dhahabu ama? Click to expand... Itakuwaa ni dhahabu
tya02 JF-Expert Member Joined Nov 26, 2014 Posts 850 Reaction score 1,064 Feb 17, 2017 #11 malyakishu said: Utaona Vanessa kaiga soon Click to expand... Hahahah
relis JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 3,429 Reaction score 5,469 Feb 17, 2017 #12 Dinazarde said: Watu wanajua kutengeneza magauni ,,,halaf kama linatisha hiviii au macho yangu tuView attachment 471195View attachment 471196View attachment 471197View attachment 471198View attachment 471199 Click to expand... Una miaka mingapi mkuu,nahisi upo ktk umri wa kuogopa kulala gizani peke yako.
Dinazarde said: Watu wanajua kutengeneza magauni ,,,halaf kama linatisha hiviii au macho yangu tuView attachment 471195View attachment 471196View attachment 471197View attachment 471198View attachment 471199 Click to expand... Una miaka mingapi mkuu,nahisi upo ktk umri wa kuogopa kulala gizani peke yako.
Rais2020 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 3,248 Reaction score 5,537 Feb 17, 2017 #13 Mastaa huko nchi za wenzetu wakipigwa mimba huzaa,mastaa bongo wakipigwa mimba wanazichoropoa na wakifia muda wa kutaka kuzaa hawapati mimba na kukimbilia kwa waganga wa kienyeji bila mafanikio.
Mastaa huko nchi za wenzetu wakipigwa mimba huzaa,mastaa bongo wakipigwa mimba wanazichoropoa na wakifia muda wa kutaka kuzaa hawapati mimba na kukimbilia kwa waganga wa kienyeji bila mafanikio.
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,001 Reaction score 72,284 Feb 17, 2017 Thread starter #14 relis said: Una miaka mingapi mkuu,nahisi upo ktk umri wa kuogopa kulala gizani peke yako. Click to expand... Nna miaka mingi tu
relis said: Una miaka mingapi mkuu,nahisi upo ktk umri wa kuogopa kulala gizani peke yako. Click to expand... Nna miaka mingi tu
Herry Ally Member Joined Dec 12, 2016 Posts 60 Reaction score 36 Feb 17, 2017 #15 Kwa umakini ukiangalia utajua ni statue ya Virgin Mary Beyonce#ave maria
Licking Wounds JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 4,510 Reaction score 6,099 Feb 17, 2017 #16 Dinazarde said: Yaan ndio maana wanasemwa kuwa ni iluminat Click to expand... sasa unategemea wasiwe illluminati? angalia tu mienendo yao,ina potray ushetani kabisa.hata majina ya watoto wao,daah yan i wish ungejua Dinah
Dinazarde said: Yaan ndio maana wanasemwa kuwa ni iluminat Click to expand... sasa unategemea wasiwe illluminati? angalia tu mienendo yao,ina potray ushetani kabisa.hata majina ya watoto wao,daah yan i wish ungejua Dinah
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,001 Reaction score 72,284 Feb 17, 2017 Thread starter #17 Tobinho said: sasa unategemea wasiwe illluminati? angalia tu mienendo yao,ina potray ushetani kabisa.hata majina ya watoto wao,daah yan i wish ungejua Dinah Click to expand... Yaan hilo gauni mmmmh litakuwa na maana nyingi sanaa na style aliyovaa
Tobinho said: sasa unategemea wasiwe illluminati? angalia tu mienendo yao,ina potray ushetani kabisa.hata majina ya watoto wao,daah yan i wish ungejua Dinah Click to expand... Yaan hilo gauni mmmmh litakuwa na maana nyingi sanaa na style aliyovaa
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,001 Reaction score 72,284 Feb 17, 2017 Thread starter #18 Herry Ally said: Kwa umakini ukiangalia utajua ni statue ya Virgin Mary Beyonce#ave maria Click to expand... Maana yake ninii
Herry Ally said: Kwa umakini ukiangalia utajua ni statue ya Virgin Mary Beyonce#ave maria Click to expand... Maana yake ninii
Licking Wounds JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 4,510 Reaction score 6,099 Feb 17, 2017 #19 Dinazarde said: Maana yake ninii Click to expand... means she is a godess,kinda Mama Maria pia...wana mambo sana hawa watu
Dinazarde said: Maana yake ninii Click to expand... means she is a godess,kinda Mama Maria pia...wana mambo sana hawa watu
witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,839 Reaction score 47,747 Feb 17, 2017 #20 Tobinho said: sasa unategemea wasiwe illluminati? angalia tu mienendo yao,ina potray ushetani kabisa.hata majina ya watoto wao,daah yan i wish ungejua Dinah Click to expand... Mkuu fafanua kidogo kama hutajali?
Tobinho said: sasa unategemea wasiwe illluminati? angalia tu mienendo yao,ina potray ushetani kabisa.hata majina ya watoto wao,daah yan i wish ungejua Dinah Click to expand... Mkuu fafanua kidogo kama hutajali?