Hili game: Hivi ni nani Starring?

hajatanabaisha uwezo wa kuendelea ni hadi raundi ngapi. labda umuongezee maelezo wewe, alichosema ni uwezo wa kufika mwisho na bado kuwa na nguvu ya kuendelea. mwisho hakuutaja ni wa raundi ngapi yaweza kuwa ni ile ya kwanza au hata ya 30 (kama inawezekana)
hivi mume na mke hawawezi kukutana baada ya muda wakiwa na "maugwadu"?? na nani alikudanganya kuwa na "maugwadu" ni kigezo cha kuwa na uwezo wa kuzunguka raundi nyingi kwa kuunga???
huyu kijana wa miaka 20 unaemuongelea ni wa karne ipi??
 


Jibu moja ni tu Zinduna: Ni kwa ajili ya maumbile.

Nimemaliza.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…