Hili game: Hivi ni nani Starring?

Halafu weye ni mbishi ka nini?
Hivi wewe ni Mluguru au?

Ha ha haaa mimi Mkaguru, Mluguru mama yangu....
Nataka semester ya pili ukija hapa uje ni mshiriki mwenzako ili tuje tuwape debate huru hapa tujue nani bingwa muwapo mzigoni!
 
Acha uongo, wanaume wenzako wote wamekubali maudhaifu yao weye tu waleta za kuleta

kuzalisha mbegu za uzazi ni kazi inayohusisha mfumo mkubwa wa mwili kuliko mwili kutoa maji, au jasho au machozi.hilo wapasa kujua. kikubwa tuko tofauti sio mapungufu.
 
Hapa nimezungumzia wapenzi wanaopendana kwa dhani na wanapotaka kulifanya tendo kwa burudani, sijazungumzia kubakwa. sasa kama mwanaume kamaliza na mwanamke bado anataka game lichezeke na mwanaume ni kwanza anageukia ukutani nani sterring hapo?

hahaaaa nilikuwa sijaelewa kumbe..................
 
Hapa nimezungumzia wapenzi wanaopendana kwa dhani na wanapotaka kulifanya tendo kwa burudani, sijazungumzia kubakwa. sasa kama mwanaume kamaliza na mwanamke bado anataka game lichezeke na mwanaume ni kwanza anageukia ukutani nani sterring hapo?
Hao wanaogeukia ukutani wakati demu ajafikishwa ni hawa wanaume wenu wala chips mayai na kushinda saloon kwa kuscrub uso mwanamume wa ukweli inabidi mwanamke akojoe kwanza!Mwanaume baadae.
 
Dereva akae nyuma abiria tuwe mbeleee
Tupige vigelegele tukishafika salamaaa.... salamaaaa...
nahodha akae mbele abirai tuwe nyuma.... lilikuwa bonge moja la pini kitu cha taarabu asilia mpk leo aliyeimbahajalifumbua lile fimbo kila mtu kabaki kuelewa alivyotaka
 

mkuu ahsante kwa maelezo mazuri uliyotuletea umemaliza kila kitu,
 
kuwa star wa mchezo kuna vigezo vingi vinazingatiwa, sio general formula kuwa kati ya mume au mwanamke mmoja wapo atakuwa star permanently, mfano naweza kukupelekesha Zinduna mpaka ukaomba pooo... ila nikirudi kwa my wife charminglady akanikimbiza mpaka nikaomba msamaha. Kwa iyo namaliza kwa kusema hakuna mshindi wa jumla jumla ila inategemea na muda, wahusika, mahali na vitu vingine viingi
 
Last edited by a moderator:
Hivi Zinduna hapo bazazi ni nani?

haalfu ukitaka kujua starring ni nani, hebu njoo nikuonyeshe kwa vitendo. Udereva wa gari haufundishwi tu darasani kuna na muda wa kufanya mazoezi, ndiposa unaweza kusema umefuzu


Na mkimaliza hivyo vitendo mkuje hapa mtuambie nani alikuwa starring......
 
Zinduna nime fall in love with your Avatar linanipa udenda
 
Last edited by a moderator:

hapo kwenye red nadhani umejumuisha kimakosa. wako wanaume na hapa huwa wanajieleza askari kanzu anavyoweza kuunganisha shift.
 

hahaaaaaaah ....
 
hapo kwenye red nadhani umejumuisha kimakosa. wako wanaume na hapa huwa wanajieleza askari kanzu anavyoweza kuunganisha shift.

kuunganisha kwa mke? ni kweli unaweza unganisha mbili na sio nne. kumbuka huyu haongelei wapenzi ambao hukaa miaka na kukutana wakiwa na maugwadu , anaongelea mme na mke ambao mapenzi kwao sio ugwadu bali starehe. kijana wa miaka 20 anapobalee anaweza enda hata goli sita au nane kwa kuunganisha au kupishana dk 10 alkini hiyo huwa ndani ya siku mbili tatu mfululizo au wiki. kuunganisha to be honest huwa ni kwa mbili tu.
 
Umefanya uchunguzi wenye wigo mkubwa kiasi gani?

Margin of error yako ilikuwaje?

Methodology?

Sample space?

Control group?
 
Umefanya uchunguzi wenye wigo mkubwa kiasi gani?

Margin of error yako ilikuwaje?

Methodology?

Sample space?

Control group?

Manenahhhh

Huyu "dem' akijibu haya maswali anidai eateli mane fasta

Namba yangu ni +01 234 567 897!!!!!!!!
 
Mambo kama haya ni moja ya sababu ya kuiombea mema Jf na watu kama wewe
 
Umefanya uchunguzi wenye wigo mkubwa kiasi gani?

Margin of error yako ilikuwaje?

Methodology?

Sample space?

Control group?

Cheki majibu yako kwa rangi nyekundu

Margin of error yako ilikuwaje? - Ilikuwa so simple maana nilimhoji Mentor ndio akafunguka

Methodology? - Ilikuwa ni ya maswali ya dodoso na rejea kutoka simulizi kadhaa za kale

Sample space? - hiyo haikunipa shida maana nilikuwa na mtalamu Nyani Ngabu

Control group? - Nililazimika kuwatumia wadau wanaoperuzi lile jukwa la kule chini kabisa la mambo ya wakubwa


Naamini nimekujibu Yah Habibi
 
Last edited by a moderator:
Manenahhhh

Huyu "dem' akijibu haya maswali anidai eateli mane fasta

Namba yangu ni +01 234 567 897!!!!!!!!
haya tuma hela yangu haraka nishamjibu Kiranga, na kanipa tiki kwa sababu nimepata majibu yote
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…