HILI DARAJA NI HATARI

Nimekupata ...
 
Nitapata tabu wani wiki baada ya hapo nitavuka nakimbia kwani nimesha kuwa master
 
Yes mkuu, pale stand si ndio mjini yao au? Kisha nikaenda sehemu moja inaitwa Bunduki.
Hahaaaa long time sana! Kuna siku watu wa pembezoni mwa huo mto wakaniaminisha kuwa hayo maji ni safi, ninywe tu! Ile namaliza kunywa macho yakagongana na binti kajificha kwenye matete akioga uchi, nilihisi kichefuchefu japo baadae nikaponywa na chuchu zake maridadi kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…