Oyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, mbavu zetu.Kuna mlevi kabla ya kwenda kwake anavuka daraja kama hilo basi akilewa anayumba vibaya sana ila akifika hapo darajani anasimama kwanza dakika kama mbili hivi halafu anavuka vizuri ila akimaliza tu daraja anaanza kuyumba tena!
upande wa pili siwezi kwenda wala kuishi...nitabaki upande mmoja kwa shida na raha!Chini kuna mamba
Njoo ujenge daraja huku kijijini kwetu Mwanangeta.Nikitaka kujitolea kuwaondolea adha wananchi itawezekana? au urasimu na siasa chakavu....!!
Ndg. Nilijitolea kujenga kibarabara na kuziba madimbwi kadha//:mmh kilichonipata nikaambia nani kakupa ruhusa kufanya hivyo?" nikaanza kuhaha hapo mie nilishaingia gharma za kununua vifaa,cement,lami na kokotonk nk!!Njoo ujenge daraja huku kijijini kwetu Mwanangeta.
Yaani wanaume wote waliyopo kijijini.. hawakuweza kufikiri na kubuni maarifa ya kujenga kadaraja kamiti khaaah !!!! Yaani kweli kwenye miti hakuna wajenzi...kuna wa"" "" ""m !!! Poleni sana!!Hapo ni kigoma, kule ilagala kwenye chikichi, halafu huu mto malagalas na kuna mamba wenye njaa hatar
Mkuu kuvuka na makalio hapo kuna hatari mbili.wangeweka miti miwili........ mimi hapo kuvuka navuka na makalio aisee yani nitajivuta mapaka nifike upande wa pili
Nadhan huelewi, hiyo ndo sehem wanafugwa mamba wa kutumwa, imeachwa hivyo makusudi kurahisisha upatikanaji wa sadaka.Yaani wanaume wote waliyopo kijijini.. hawakuweza kufikiri na kubuni maarifa ya kujenga kadaraja kamiti khaaah !!!! Yaani kweli kwenye miti hakuna wajenzi...kuna wa"" "" ""m !!! Poleni sana!!
Never !! hata chembe ndogo siamini .. hadithi za MAMBA wa kutumwa !!!!! (siyo kejeli ni imani yangu thabiti)Nadhan huelewi, hiyo ndo sehem wanafugwa mamba wa kutumwa, imeachwa hivyo makusudi kurahisisha upatikanaji wa sadaka.
Kwa ujumla hata serikaki au msamaria mwema atataka kujenga daraja hapo, kijiji chote kitasimama kwa hasira na kumtimimua
hapo kwenye kukaribia mamba sawa.. ila swala la nikra halipoMkuu kuvuka na makalio hapo kuna hatari mbili.
Mosi, unakuwa umemkarbia mamba zaid na kuongeza uwezekano wa kugeuka msosi,
Pili, kuna hatari ya kupoteza bikira yako if at all you are virgin still (ingawa kwa wewe hii haikuhusu maana kitambo kwenye gemu)
vp kama ni shule ipo upande wa pili, kama mwenzako hapo?Nitapita hapo endapo tu inanilazimu au nna kitu cha muhimu sana cha kufanya ng'ambo yake , otherwise hapana aiseee ntajikuta najikolea kabsaaa ama kudumbukia
Kuna padri mmoja enzi zile alikuwa anahubiri kigoma akasema kama wewe hivi " hakuna uchawi hapa wala mtoto wa uchawi, shijeni imani yenu nanyi mtakuwa salama" akarudi kukaa kule juu altareni,Never !! hata chembe ndogo siamini .. hadithi za MAMBA wa kutumwa !!!!! (siyo kejeli ni imani yangu thabiti)
Nngejitahidi kumshawishi mzazi anihamishe walahi,kwenye picha tu naogopa haya ikiwa live,nadhani nngekonda ghafla km shabiki wa Arsenalvp kama ni shule ipo upande wa pili, kama mwenzako hapo?
na shule unatakiwa kwenda na kurudi kila siku
Mababu zangu ndo waliishi hapo walikuwa hapo ujiji karne iliyopita mbona hawakuliona hiloKuna padri mmoja enzi zile alikuwa anahubiri kigoma akasema kama wewe hivi " hakuna uchawi hapa wala mtoto wa uchawi, shijeni imani yenu nanyi mtakuwa salama" akarudi kukaa kule juu altareni,
alipotaka kunyanyuka tena, kiti kikawa kimenasa makalio, ilibidi asemee pale pale " nimeamini uchawi upo," kiti kikamuachia.
Lakini pia waulize wafuatao habari za uchawi wa kigoma.
Mwl Nyerere ( Ni kigoma pekee wakifanikiwa kumuibia fimbo yake pamoja na kuwa baba wa taifa)
Yusuph Makamba ( huyu alilazimisha wananchi kulima pamba katika kijiji cha ruhita, aliporudi kukagua, wakamuonesha pamba imestawi na kuchanua vizuri, akapiga picha akiwa katika mashamba makubwa ya pamba akarudi mkoani. Picha zilipotoka, akajikuta kumbe alipiga picha zote akiwa katika pori kubwa la kibhambila, mpaka leo kigoma hailimi pamba na makamba alihana ukuu wa mkoa akakimbilia dsm.
Mzindakaya. (Huyu alikuja kwenye vikao vya Tanu kule akwatukana wazee, wakaamua kutundika makoti hewani, kikao kiliishia hapo na mpaka leo usimuulize habar za ujiji.)
List ni ndefu, muulize mshana jr
Mababu zenu walikuwa na hekima. Si busara hata kidogo kumsimulia mtoto mambo yanayotisha maana utaharibu ubongo wake.Mababu zangu ndo waliishi hapo walikuwa hapo ujiji karne iliyopita mbona hawakuliona hilo