Inakatisha sana tamaa. Usoni ni watu lakini rohoni wameshika kutu, tena kutu ya kumomonyoka kabisa. Siwaelewi, hawaungani katika mambo yanayotuunganisha. Chadema walipokataa kuungana na kila mtu sikuelewa ila sasa naelewa, kumbe hakuna chema kitakachotoka kati ya watu hawa. Roho zao zimekufa kabisa.