Simba Mkali
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 620
- 243
Kuna basi moja linafanya kazi ya kusafirisha abiria kati ya Dar es Salaam hadi Mwanza, linaitwa Muro kila siku linalaza abiria njiani, yaani bovu ile kinoma. Mbaya zaidi linapoharibika hakuna msaada wowote unaotolewa na wahusika, hapo ndipo inapokuwa mwisho wa mchezo, aidha abiria watafute usafiri mwingine au walale kwenye basi (kama ni usiku) hilo hadi kesho yake. Jamani haya si mateso jamani. Kwani linaruhusiwa kutembea au ni la mkubwa. Nani anayejua habari zake atuhabarishe?

Mimi sipandi tena, ila tatizo ni ndugu zetu wengine wa Kitanzania bado wapanda likija kuleta madhara si tutalia wote kama tulivyolia kwenye MV Spice, kwanini tusichukue tahadhari mapema?Kwani hamna mabsi mengine???? Unalalamika utadhani ndege ya kwenda Kigoma ambayo iko moja tu ATC
Kwani Mwanza kuna bus hilo hilo moja? Badilisha usafiri mkuu
Labda nauli yake ni ndogo!
Yote ni yaleyale mmiliki wake ni mmoja.muro au princess muro???