Leina ni balaa!!!! yaani huwa haya mabasi yanapita basi zingine kama zimepaki wakati nazo unakuta ziko full speed
LEINA BABA LAO!sijui yale ma bus yana injini gani
jamani hivi hao waliyo yatengeneza hayo mabasi hawakujua kuwa kuna siku yatakimbia hadi 180Km/hr? na je kama gari ina speed 320 km/hr mtu akitembelea speed 200 km/hr kuna tatizo?
Wewe,halali yakimbie unadhan musoma ni DAR-MORO?YATAFIKA SAA NGAPI MUSOMA IKIWA KESHO LINATAKIWA LIRUDI DAR?..MWACHE DEREVA SI MAKOSA YAKE NI MAKOSA YA BOSI WAKE..NB:SIJAWAHI SIKIA MUSOMA EXPRESS IMECHINJA.
jamani hivi hao waliyo yatengeneza hayo mabasi hawakujua kuwa kuna siku yatakimbia hadi 180Km/hr? na je kama gari ina speed 320 km/hr mtu akitembelea speed 200 km/hr kuna tatizo?
Hata kama bhana, linakimbia sana aisee, siku moja lilitupita basi letu likawa kama limesimama tu na within five mins hatukuliona tena
Nilipanda hiyo leina inakimbia sana na dreva alikua makini sijui hayo mabasi mengine,,,
Nawashauri leina waongeze safari gari isiishie khm na wengine tuache mambo ya kusafiri siku mbili..
hali hii huwa inatisha sana, hasa ukiamini bus ulilopanda linakimbia sana halafu unakuta bus lingine linawapita and within few mins haulioni tena, huwa nashukuru Mungu may be tupo salama zaidi kuliko waliyotupita japokuwa wote ni majanga, ila Leina Tours, Hoods (Mbeya-Arusha, Ngorika, baadhi ya Saibaba, Allys, na sasa hio Musoma Express ni bus hatari sana
Leina tours hizo gari wanaweka injini ya scania 124 L,gia 12 hapo hata uwe na prado hutii pua
sembuse michina ya yutong
are you serious??