Hili aliloagiza Rais Samia ndio lilifanywa na Hayati Magufuli na Polepole kuwachukua Wakosoaji " Wenye akili" kuwaingiza Serikalini

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,224
142,383
Naunga Mkono Kauli ya Rais Samia kwamba Wakosoaji wafanyiwe vetting na kuingizwa Serikalini wakasaidie Ujenzi wa taifa

Huu utaratibu ndio ulitumiwa na Shujaa Magufuli akisaidiwa na komredi Polepole kuwachukua Wakosoaji kutoka Upinzani na Kuwapa teuzi Serikalini

Mfano Prof Kitila, Mama Mghwira rip, Joshua Nassari, Mwita Waitara, ProtasnKatambi, Gekui, Dr Mollel, Dr Slaa, Julius Mtatiro, Halima James Mdee na wenzake nk....nk

Nawatakia Sabato njema!
 
Niwekee clip nisikilize.
Kwahiyo anataka kutembeza pesa kuwanunua......Mungu amlaani
 
Huu utaratibu ndio ulitumiwa na Shujaa Magufuli akisaidiwa na komredi Polepole kuwachukua Wakosoaji kutoka Upinzani na Kuwapa teuzi Serikalini
hakuna asiyejua, hii ilikubwa biashara kubwa mbaya zaidi kutokea tangu uhuru, ya kutumia hela za umma kununua wapinzaji na eti kuunga juhudi za mtukufu.
 
Walipewa teuzi tu

Tundu Lisu akiteuliwa kuwa Waziri wa Sheria anaachana na Chadema dakika 0😀
 
Naunga Mkono Kauli ya Rais Samia kwamba Wakosoaji wafanyiwe vetting na kuingizwa Serikalini wakasaidie Ujenzi wa taifa

Huu utaratibu ndio ulitumiwa na Shujaa Magufuli akisaidiwa na komredi Polepole kuwachukua Wakosoaji kutoka Upinzani na Kuwapa teuzi Serikalini

Mfano Prof Kitila, Mama Mghwira rip, Joshua Nassari, Mwita Waitara, ProtasnKatambi, Gekui, Dr Mollel, Dr Slaa, Julius Mtatiro, Halima James Mdee na wenzake nk....nk

Nawatakia Sabato njema!
Mlinda legacy nikuulize swali.. Hivi inamaana ndan ya chama cha mapinduzi kumekua na uhaba wa watu aina ya wakosoaji ili wajumuishwe kweny ujenz wa Taifa? Au ndo ivo tena ukishakua huko na IQ unaparaganyika?
 
CCM Wamejazana Chawa wa viwango tofauti tofauti!
 
Back
Top Bottom