Hilda Gondwe ni nani?

Hilda Gondwe ni nani?

Status
Not open for further replies.
Aliwahi kuwa PS pale Afya akaharibu wakampa U RAS kule KILIMANJARO....Hilda Hausi Gondwe ni Mmalawi
Anaweza akawa Mmalawi,lakini wazazi wake walihamia tanzania akiwa mdogo,si unajua wilaya za mipakani maingiliano ya ndugu ni makubwa kati ya nchi mbili zinazopakana,jina hili ni maarufu sana wilaya inayopakana na Kyela yaani Karonga.
 
Siku hizi watu wakisataafu wanakula kiapo tena?

s5.jpg


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Hilda A. Gondwe kuwa Mjumbewa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Mandela wakati wa kustaafu alisema alikuwa astafu kutoka kwenye kustafu. Ndio mambo ya siku hizi. Watastafu kutoka kwenye kustafu
 
badala ya kumjadili namna alivyo , mleta uzi aliomba kumjua .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom