Hiki ni nini kwa wajuzi wa mambo

Hiki ni nini kwa wajuzi wa mambo

Mwanamke smart kichwani huwezi kumshusha kwenye daladala ukamlale ndani ya muda mfupi hivyo, na mwanaume smart atembezi kikojoleo chake kama chaki za chekechea kila pupil aandikie. Tafakari chukua hatua.
 
Alikutana na wale wa kona bar na buguruni akaokota,anaokota okota tu halafu anadhani ndo masculine quality
 
Kuna mambo ya kujisifu lakini siyo kama hili, yeye anawaza papuchi cheap bila kujiulilza why anazipata kirahisi ivyo,anyway ila mi namkumbusha tu kuwa Ukimwi upo
Hahaha mkuu hizo mambo nimeacha but now but nitakupa kisa chot hapa hapa
 
Back
Top Bottom