Shida zenu wabongo ni ushamba unawasumbua unataka wajenge uwanja mkubwa wa nini kama hakuna mahitaji hayo
inamaana kwa wazungu hakuna viwanja vidogo
Hebu ona hivi viwanja nilikuwa australia juzi
View attachment 242483
View attachment 242484
Bila shaka hivi ni viwanja vidogo sana Leeton na Grififh ni miji mikubwa kuliko hata hiyo pemba
asante kwa kutuambia kuwa ulikuwa australia majuzi sasa tunakuomba uende basi pia na mwezini ili uje utolee pia ushamba wa huko.
Mswahili bwan , kwenda AUSTRALIA na hilo umeona dili!!! kwenda zako huko na busha lako!
Tatizo ni nini kwenye huo uwanja?
Tatizo ni hili bi mkubwa! Wewe haujaliona?!
Mswahili bwan , kwenda AUSTRALIA na hilo umeona dili!!! kwenda zako huko na busha lako!