Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Wa-Danganyika bado tupo nyuma sana kimaendeleo hata kukipiga picha na kuweka kwenye mitandao hivi viwanja vyetu ni jambo la aibu sana. Bora kutawaliwa na wazungu kuliko kujitawala wenyewe hatuwezi kitu chochote sisi wenyewe. Zaidi ya wizi Rushwa na ufisadi tu.

